Big and speed buses in the city of dar es salaam | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Big and speed buses in the city of dar es salaam

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mhache, Dec 9, 2009.

 1. Mhache

  Mhache JF-Expert Member

  #1
  Dec 9, 2009
  Joined: Jun 20, 2008
  Messages: 346
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  To me this expectation sounds like a dream because there are a lot to be done. I found the way big buses operate in developed countries and conclude that we have a long way to go. You need first to improve infrastructure, then you need to have trained drivers, at the same time passenger need to be educated on how to use those buses. Seriousness is of important and not to deal with this issue as part of political issues. If those buses planned for Dar es Salaam city is the same as those operating in Finland they can not operate, because our roads are very thin with a lot of sharp corners. Roads need to be straight and there must be areas for pedestrians and cyclists as well. What others think about speed buses in Dar es Salaam?
   
 2. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #2
  Dec 9, 2009
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,412
  Likes Received: 81,451
  Trophy Points: 280
   
 3. Tiba

  Tiba JF-Expert Member

  #3
  Dec 9, 2009
  Joined: Jul 15, 2008
  Messages: 4,511
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 145
   
 4. Lukolo

  Lukolo JF-Expert Member

  #4
  Dec 9, 2009
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 5,137
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  Wee Mhache, haya mabasi si lazima yafanye kazi kama hayo ya Finland bwana. Tukiwa nayo yale hata kama hayataoperate kama hayo ya finland yatapunguza sana kero ya usafiri, kwa kuwa basi moja litakuwa linabeba abiria ambao wangebebwa na coasta mbili. au vipanya vinne. huoni kama hapo tutakuwa tumepiga hatua sana?
  Sema tu kikubwa ni kwamba hiyo idea ya mabasi yaendayo kasi ilikuwa ni ya Mkapa. Sasa Kikwete sidhani kama anaweza kuimplement idea za Mkapa, maana za kwake tu zimemshinda. Although tunamlalamikia Mkapa kwa wizi, still yule jamaa alikuwa na target za maendeleo ya nchi. Vision yake ya umaskini uishe by 2025 alikuwa anaitekeleza kwa vitendo sasa hawa wezi wa sasa hata hiyo habari ya umasikini uishe by 2025 hawasemi tena. We unafikiri Mkikaa na Makamba kujadili maendeleo ya nchi, mtajadili kitu gani. Its almost we dont have a government. nchi inakwenda kwa huruma za Mungu tu.
   
 5. M

  Magezi JF-Expert Member

  #5
  Dec 9, 2009
  Joined: Oct 26, 2008
  Messages: 2,827
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  For sure ukikaa hata na Pinda mwenyewe hawezi kukwambia mipango ya serikali ktk sekta ya barabara miaka 10 ijayo. Angalia wanavyo shindwa ku-handle issue ndogo ya richmond, IPTL na TRL, kwa waziri mkuu mwenye kujali maslahi ya nchi angevunja mkataba na TRL/Rites na wakakutana mahakamani huku shirika likizalisha pesa na kukuza uchumi.

  Kawambwa ni mzigo mwingine ktk baraza la JK, achilia mbali masha na wengine wengi tu. Kweli nchi yetu sasa inajikongoja kwa nguvu za mungu tu lakini kusema serikali.....hatuna.
   
 6. Kibunango

  Kibunango JF-Expert Member

  #6
  Dec 9, 2009
  Joined: Aug 29, 2006
  Messages: 7,635
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 160
  Taarifa tu:-
  Ikumbukwe kuwa kulikuwa na UDA, ambao walikuwa na mabasi yenye uwezo wa kuchukua hadi abiria 110.
   
 7. Mchizi

  Mchizi JF-Expert Member

  #7
  Dec 9, 2009
  Joined: Apr 23, 2009
  Messages: 670
  Likes Received: 847
  Trophy Points: 180
  Sawa kabisa kibunango,mabasi kama yale unayoayaona stockholm city aina ya ikarus yalikuwepo dar kipindi cha nyuma(UDA) sasa sioni ni kipi kinachokushangaza wewe mheche.
   
 8. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #8
  Dec 9, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,128
  Likes Received: 5,569
  Trophy Points: 280
  Lukuvi kweli ana dawa
  mabasi ya wanafunzi mradi akaumaliza kabisa ...haya tena yanamkuta kwenye kiti cha enzi....eeee molla swabaana wa taalaa tujalie wana wako
   
 9. N

  NasDaz JF-Expert Member

  #9
  Dec 10, 2009
  Joined: May 6, 2009
  Messages: 11,308
  Likes Received: 1,651
  Trophy Points: 280
  jambo la msingi na gumu ni kuhusu miundombinu. interest yangu kubwa ni kujua wanakusudia barabara husika zitapita wapi, especially zitakapoingia city centre. Ile phase one itakayoanzia kimara, sina tatizo hadi magomeni, kwani hawashindwi kuwabomolea wananchi hasa kwa kuzingatia project kubwa kama hiyo itawaingizia ulaji. they can take risk ya kusimangwa by applying oportnity cost!!! waogope kusimangwa wakose ulaji, wazibe masikio wapate ulaji (opportunity cost). Shaka yangu ni kwamba, wakishafika mitaa ya jangwani watapitisha wapi? matumizi ya morogoro rd yatabadilishwa kuanzia jangwani kuja city centre?! halafu nilisikia kama itapita mitaa ya karibu na (inaitwaje sijui, nshazoea sheraton)! je, ina maana Ohio nayo itabadilika matumizi yake?!
   
 10. Serendipity

  Serendipity JF-Expert Member

  #10
  Dec 10, 2009
  Joined: Jan 24, 2009
  Messages: 475
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Labda wafunge bembea kama zile mheshimiwa alizokuwa anazifurahia Jamaica, otherwise, barabara tulizonazo DSM HAZIRUHUSU hayo mabasi kutembea kwa kasi!.
   
Loading...