Nyumba iliyopo Mbezi Luis njia ya kuelekea Mpiji Magoe inapangishwa

Mhache

JF-Expert Member
Jun 20, 2008
345
24
Nyumba iliyopo Mbezi Luisi njia ya kuelekea Mpiji Magoeinapangishwa. Nyumba hiyo ipo karibu na Sekondari ya Mbezi kilomita moja kutoka barabara ya Morogoro. Nyumba yenyewe ina sebule, chumba cha kulala, stoo na jiko. Choo ni cha nje. Nyumba ina umeme, maji yanapatikana jirani. Kodi kwa mwezi ni shilingi 150,0000/= Kwa mawasiliano 0754 383 416.
 
Tatizo lenu madalali mna tamaa sana, we chumba kimoja cha kulala,choo nje,ipo mbali na mjini,nk bado unataka 150,000 (150,0000/=)kwa mwezi? si bora niendelee kulipa 200,000/= huku sinza napata chumba self, sebule jiko,stoo na choo ndani.Acheni uhuni bana!! huko kodi inatakia 70,000 tu hapo.
 
Back
Top Bottom