DECI sasa basi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

DECI sasa basi

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mhache, Apr 19, 2009.

 1. Mhache

  Mhache JF-Expert Member

  #1
  Apr 19, 2009
  Joined: Jun 20, 2008
  Messages: 346
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Serikali imeifunga DECI rasmi. Kwa maana hiyo shughuli za kupanda na kuvuna zimesitishwa. Pia Serikali imezifunga account zote za DECI, DECI haina uwezo wa kuchukua au kuweka fedha kwenye account zilizokuwa za DECI. Dhamana zote zimechukuliwa na serikali, kwa hiyo serikali inawakati mgumu wa kutafuta kumbukumbu zote za wanachama waliokuwa DECI ili kutafuta jinsi ya kuwalipa.
   
 2. Yona F. Maro

  Yona F. Maro R I P

  #2
  Apr 19, 2009
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 4,237
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 0
  wametangaza katika taarifa ya habari ??
   
 3. Mhache

  Mhache JF-Expert Member

  #3
  Apr 19, 2009
  Joined: Jun 20, 2008
  Messages: 346
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Ndio wametangaza kwenye taarifa ya habari ya Channel saa moja jioni hii.
   
 4. Kaduguda

  Kaduguda JF-Expert Member

  #4
  Apr 19, 2009
  Joined: Aug 1, 2008
  Messages: 670
  Likes Received: 280
  Trophy Points: 80
  Mambo hayooooo!!!! Ee Mungu wasaidie wahanga wa DECI ili walao wapate chochote kilichosalia. Walao mbegu zao basi. Sasa serikali imefunga account zipi, maana tumesikia hapa kwamba account za DECI nyingi zilikuwa za watu binafsi hapo inakuwaje?
   
 5. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #5
  Apr 19, 2009
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 10,312
  Likes Received: 5,600
  Trophy Points: 280
  Yaa waziri wa fedha ametangaza rasmi serikali inachukua dhamana ya account hizo...waliopanda haijulikani watapewa mbegu zao lini.
   
Loading...