Wahi nyumba inapangishwa (Dar) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wahi nyumba inapangishwa (Dar)

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Mhache, Mar 18, 2011.

 1. Mhache

  Mhache JF-Expert Member

  #1
  Mar 18, 2011
  Joined: Jun 20, 2008
  Messages: 346
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Nyumba iliyopo Mbezi Luisi karibu na Mbezi High School inapangishwa. Nyumba ina Sebule, chumba cha kulala na stoo. Kodi ni shilingi 100,000/= kwa mwezi. Malipo ni kwa mwaka. Kwa mawasiliano nitwangie kupitia 0754 383 416.
   
 2. d

  drndasika Member

  #2
  Mar 18, 2011
  Joined: Oct 14, 2010
  Messages: 34
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  hiyo ni nyumba au chumba na sebule?
   
 3. Mlachake

  Mlachake JF-Expert Member

  #3
  Mar 18, 2011
  Joined: Oct 13, 2009
  Messages: 2,786
  Likes Received: 457
  Trophy Points: 180
  umeshapata m2?
   
 4. Kiresua

  Kiresua JF-Expert Member

  #4
  Mar 18, 2011
  Joined: May 13, 2009
  Messages: 1,200
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  Du h nyumba? Nyumb ina chumba na sebule. Hahahaha. Bana sema chumba na sebule
   
 5. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #5
  Mar 20, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,774
  Likes Received: 502
  Trophy Points: 180
  hahahaha! Ina stoo pia. Amesahau kusema choo na bafu.
   
 6. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #6
  Mar 20, 2011
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,194
  Likes Received: 1,590
  Trophy Points: 280
  <p>
  </p>
  <p>&nbsp;</p>
  haina choo wala bafu,ndo maana hajasema,hahaha
   
 7. Mhache

  Mhache JF-Expert Member

  #7
  Mar 21, 2011
  Joined: Jun 20, 2008
  Messages: 346
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Utakavyoiita ni sawa tu. Kwa waliosema ni chumba na sebule ni sawa pia. Nyumba yenyewe ina stoo, jiko na choo. Kwa wale wenye kuhitaji tuwasiliane mpangaji hajapatikana.
   
Loading...