Mhache
JF-Expert Member
- Jun 20, 2008
- 345
- 24
WanaJF nadhani mpo salama kiakili, kiafya na mnaendelea vema kuchapa kazi ili kuliendesha gurudumu la maendeleo ili nchi yetu iweze kuendelea, japo kuna vikwazo lukuki kama RUSHWA, mikwaruzano bungeni na kadhalika.
Niaomba kupata michango yenu. Leo asubuhii hii nilisikiliza radio BBC na kukutana na kisa hiki. Kuna kijana mmoja anaishi Mombasa, Kenya. Ni mtumiaji wa Mirungi, Bangi na Madawa ya kulevya. Historia yake ni kuwa alianza kwa kuangalia movies za X, baadae ndipo alipoingia kwenye madawa ya kulevya. Tatizo la huyu kijana ni mara atumiapo madawa ya kulevya huwa na hamu ya kuchungulia watu wakifanya mapenzi. Kutokana na maelezo yake huwa na uwezo wa kuchungulia watu (in pairs) watatu hadi watano kwa siku. idadi ya pairs hupungua iwapo ataona pair imemfurahisha huchukua muda mrefu kuwachungulia.
Swali: Je hiyo ni adhari ya kisaikolojia au sababu ni zipi? Yeye alisema ni woga wa kutongoza. Je hilo ni jibu sahihi au yapo mengine.