Mhache
JF-Expert Member
- Jun 20, 2008
- 345
- 27
Ndugu wadau wa ufugaji wa kuku wa kienyeji. Nimefurahishwa sana na watu wanavyojishughulisha na ufugaji wa kuku hasa wa kienyeji. Mimi nimenza mradi huu kama miezi mitatu sasa. Nina kuku watano (mitetea) na jogoo mmoja. Umbo la kuku wangu ni dogo. Ninaomba kama kuna mtu mwenye vifaranga/kuku wa kuanzia mwezi na kuendelea tuwasiliane ili aniuzie. Nahitaji kama watano wa kuanzia. Ninaishi Mbezi Luis, njia ya kuelekea Mpiji Magoe. Kikazi ni maeneo ya Biafra Kinondoni. Nitashukuru
:flypig:
:flypig: