Mhache
JF-Expert Member
- Jun 20, 2008
- 345
- 27
Nyumba iliyopo Mbezi Luisi karibu na Mbezi High School njia ya kuelekea Mpiji Magoe inapangishwa. Ipo kilomita moja kutoka barabara ya Morogoro. Nyumba ina sebule, chumba cha kulala, stoo ndogo, jiko na choo cha nje. Nyumba ina umeme, maji yanapatikana jirani. Kodi kwa mwezi ni shilingi 100,0000/= Kwa mawasiliano 0754 383 416.