DECI yawa kilio badala ya neema | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

DECI yawa kilio badala ya neema

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mhache, Apr 21, 2009.

 1. Mhache

  Mhache JF-Expert Member

  #1
  Apr 21, 2009
  Joined: Jun 20, 2008
  Messages: 346
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Katika pitapita yangu jijini Dar es Salaam nimekutana na gazeti la UWAZI likionyesha mama mmoja aliyepoteza maisha baada ya kufika kwenye za DECI na kukuta kufuli kubwa mithili ya Kichwa cha ng'ombe. Mama huyo ilikuwa ni siku yake ya kwenda kuvuna mapesa kutokana na fedha au mbegu alizopanda. Ghafla alidondoka na kufariki papo hapo. Hii ni habari iliyopo ndani ya gazeti hilo la uwazi. Wanajamii forum ambao mlikuwa wanachama wa iliyokuwa DECI je habari hizo ni za kweli?

  Cha kushangaza ni kwamba mama huyo ambaye kwa sasa ni marehemu alitoka home asubuhi na kusema anaenda kwenye shughuli zake za kila siku. Mume hakujua kwamba mkewe ni mwanachama wa DECI. Alijua baada ya kifo kumkuta mumewe. Kuna haja ya kuwa na mawasiliano baina ya wanandoa.
   
 2. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #2
  Apr 21, 2009
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,427
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  usione watu hawachangii hapa.
  wengi humu hawana mawasiliano ktk ndoa zao ndo maana kila kukicha mashtaka hayaishi humu.

  pole zangu kwa familia ya marehemu
   
Loading...