Kutii na kupenda ni kipi kigumu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kutii na kupenda ni kipi kigumu

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Mhache, May 3, 2009.

 1. Mhache

  Mhache JF-Expert Member

  #1
  May 3, 2009
  Joined: Jun 20, 2008
  Messages: 346
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Nilihidhuria senf-off moja. Mshereheshaji alikoga roho ya kila mmoja aliyehuduria send-off hiyo. Mmoja wa wazazi alipopewa wasaa wa kutoa nasaha alisema yafuatayo. Mke kazi yake ni KUTII. Ina maana ni kumtii mume wake na wengine. Wakati mume jukumu lake ni KUPENDA. Mtoa nasaha alimaliza nasaha zake kwa kusema kupenda ndio kazi kubwa na ngumu. Kwa maana hiyo mwanaume ndie mwenye kazi kubwa. Wanajamii forum mnasemaje kuhusiana na kazi hizo mbili KUTII na KUPENDA? Nawasubiri ndani ya jamii forums.
   
 2. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #2
  May 4, 2009
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  ...Doh, ndio kusema usipompenda hatokutii, wakati huo huo naye asipokutii mapenzi yatapungua! mduara huo wa maisha ya 'ndoana'
   
 3. Outlier

  Outlier JF-Expert Member

  #3
  May 4, 2009
  Joined: Dec 28, 2008
  Messages: 325
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Mtoa nasaha alichemsha; ukweli ni kwamba hivi vitu viwili iko tofauti sana.
  KUPENDA ni kitu involuntary, hakihitaji effort yoyote, wakati KUTII ni voluntary na inahitaji effort ili kitimie.
  Kwa hiyo naona ni ngumu kutii kuliko kupenda.
   
 4. H

  Haika JF-Expert Member

  #4
  May 4, 2009
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,318
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  nadhani hao watakuwa ni wakristo/wakristu.
  Upendo unaoongelewa hapo ni upendo bila masharti.
  Si ule upendo wa kujisikia tu furaha kuwa na huyo mke.
  Upendo huu kwa nilivyopitia kidogo baadhi ya waandishi ni kuwa:
  kufanya MATENDO ya upendo.
  mfano huruma, husamehe, kuvumilia, kusaidia, kujitolea nafsi kwa ajili ya mwenzio, kusikiliza, kutekeleza nk

  ni matendo si hisia.

  hivyo kwa mtazamo wangu ni ngumu zaidi kuliko kutii.
  ndio maana wanatakiwa kuongoza nyumba,
  ni kama yesu alivyopenda watu wake hadi akafa kwa ajili ya watu aliowapenda.
  Kupenda kunahitaji kujitoa hata kama unaempenda hakutendei mema!! ni kazi ambayo wanaume wengi imewashinda, ndio maana wanashangaa hakuna utii.
  Ndio ndoa zinakuwa ndoano.
   
 5. Outlier

  Outlier JF-Expert Member

  #5
  May 4, 2009
  Joined: Dec 28, 2008
  Messages: 325
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Ok, hapo powa !
  samahani natoka nje ya mjadala kidogo; wakati yesu anazaliwa ilishaandikwa/kupangwa kuwa atakuja kufa kwa ajili 'yetu' au alipokuwa mkubwa na akili zake na 'akatupenda' ndio akaamua kufa kwa ajili 'yetu'? hapo darasa lilinipita kidogo.
   
 6. babycandy

  babycandy Member

  #6
  May 4, 2009
  Joined: Apr 6, 2009
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mi kwa mtazamo wangu wote wawili kwanza mpendane wote, upendo uwe pande zote kwani utaishije na mtu usiyempenda,mwanamke ampende mwanaume pia kwa kwa mwanaume vise versa, halafu kuheshimiana ni kwa wote, kuvumiliana, kuaminiana ni kwa wote pia. kila kitu kiwe balance hapo ndoa itakuwa salama.
   
 7. H

  Haika JF-Expert Member

  #7
  May 4, 2009
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,318
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  Uvumilivu nadhani ni kati ya matendo ya upendo.
  kwani hata kama mwenzio hajakufanyia jambo jema, wewe unamfanyia tu mambo mema!
  Hivi jamani eti, ikiwa unajua kabisa mume wako anakosea (anakuelekezaufanye mambo ambayo wewe unaona hayana tija), umeshamuambia naye anangangania tu, itawezekana kweli kuwa mtii??
   
 8. Mhache

  Mhache JF-Expert Member

  #8
  May 9, 2009
  Joined: Jun 20, 2008
  Messages: 346
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Nashukuru kwa ushauri wenu.
   
 9. I

  Ikena JF-Expert Member

  #9
  May 11, 2009
  Joined: Oct 24, 2007
  Messages: 482
  Likes Received: 247
  Trophy Points: 60
  Biblia ndo itataka hivyo. "wanawake watiini waume zenu,,,,,,,,,,
  Hakunan sehemu inayosema mwanaume mtii mke wako, bali ni kumpenda tu.
   
 10. Violet

  Violet Member

  #10
  May 11, 2009
  Joined: Nov 17, 2008
  Messages: 99
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ukimpanda mtu utamtii automatic. Ila wote inatakiwa kupendana na kutii(kuheshimiana)
   
 11. m

  manyusi JF-Expert Member

  #11
  May 12, 2009
  Joined: Mar 3, 2009
  Messages: 274
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 35
  This order is from Jesus and is in
  Ephesians 5:31 For this reason a man will leave his father and mother and will be joined to his wife, and the two will become 40 one flesh. 41 5:32 This mystery is great – but I am actually 42 speaking with reference to Christ and the church. 5:33 Nevertheless, 43 each one of you must also love his own wife as he loves himself, 44 and the wife must 45 respect 46 her husband.We should love our wife and they are orderd to respect us because love to women is their nature.
   
 12. m

  manyusi JF-Expert Member

  #12
  May 12, 2009
  Joined: Mar 3, 2009
  Messages: 274
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 35
  Read 1Reveletion 1;1-23(1Ufunuo wa Yohana 1;1-23)
  1:1 The revelation of Jesus Christ, 1 which God gave him to show his servants 2 what must happen very soon. 3 He made it clear 4 by sending his angel to his servant 5 John, 1:2 who then 6 testified to everything that he saw concerning the word of God and the testimony about 7 Jesus Christ. 1:3 Blessed is the one who reads the words of this 8 prophecy aloud, 9 and blessed are 10 those who hear and obey 11 the things written in it, because the time is near! 12

  1:4 From John, 13 to the seven churches that are in the province of Asia: 14 Grace and peace to you 15 from “he who is,” 16 and who was, and who is still to come, 17 and from the seven spirits who are before his throne, 1:5 and from Jesus Christ – the faithful 18 witness, 19 the firstborn from among the dead, the ruler over the kings of the earth. To the one who loves us and has set us free 20 from our sins at the cost of 21 his own blood 1:6 and has appointed 22 us as a kingdom, 23 as priests 24 serving his God and Father – to him be the glory and the power for ever and ever! 25 Amen.
  Yesu alionyeshwa yote atakayopitia kabla hajaja duniani na kama utakavyosoma hapo juu Mungu alimtuma malaika kwa Yohana mbatizaji kuongea yatakayotokea na yote aliyosema yalitokea kama ilivyotabiriwa
   
 13. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #13
  May 12, 2009
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,691
  Likes Received: 82,611
  Trophy Points: 280
  Je, kwa maana nyingine wanaume hawatakiwi kuheshimu wake zao na wanawake wanatakiwa kutii tu bila kupenda!? Mimi kwa maoni yangu naona hapa kuna walakini na ndiyo maana majaribuni ndani ya ndoa nyingi yameongezeka sana.
   
 14. H

  Haika JF-Expert Member

  #14
  May 12, 2009
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,318
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  kwa kuwa wanaohitaji jibu hili, wana imani tofauti, mnaonaje tukichangia bila kubase sana kwenye vitabu vya dini ambavyo wengi haviwaongozi katika maamuzi yao?
   
Loading...