Utawasikia hata waheshimiwa, viongozi wa Taasisi za Serikali na Mashirika wakisema "Tunasherehekea miaka 59 ya Muungano wetu wa Tanzania Bara na Zanzibar
Kilicho wazi ni kwamba Upande wa Bara hawapendi kutaja jina TANGANYIKA, ni kama vile kwa makusudi au wanaona kama ni aibu fulani hivi.
Kwa...
Hujui maana ya mwandamo wewe. Muandamo ni new moon. kwa mujibu wa sheria, Mwezi ukishazaliwa(kuandama) ndio huo huo. Ishu ya kuuona inategememea Position ya nchi. Hoja hapo sio kuuona. Ni kuonwa kwa mwezi na taarifa Authentic zimetoka . Jana mwezi ulishazaliwa na kuonekwana na waliotangulia...
Mwanzoni mwa kuinukia kujua mpira na kufuatilia ilikuwa naumia sana pale timu ninayoipenda kufungwa au kuwa na habari mbaya kama migogoro na mifarakano.
Nimefuatilia kwa muda mrefu mpaka nilipokuja kungundua Kuwa Timu za SIMBA na YANGA ni habari nyengine hapa Tanzania. Kwa kweli nilipata tabu...
Haya ni maandamano ya vyama vinavyounda GNu Zanzibar kwenye moja ya SHEREHE ZA KITAIFA huko Zanzibar. Ujenzi wa demokrasia una gharama. ACT wasibezwe. Siasa ni mikakati na malengo.
Mada inajieleza. ACT ni mdau ndani ya Serikali ya Zanzibar. Makamu wa kwanza wa Rais ndie mshauri Mkuu wa Rais ingawa Rais hapangiwi la kufanya sawa.
Tatizo linakuja kwenye Dhamira ya kweli ya kile anachohubiri Rais Mwinyi. Haiwezekani katika hali ya mashaka ya kile kilichotokea uchaguzi wa...
Kwanza naona mleta mada na Baadhi ya wachangiaji kama wameanzisha huu uzi kutoa stress zao.
Ukiacha lugha za chuki kwa Zitto. Kilicho muhimu ni kujua namna ya kwenda na wazanzibari.
Hakuna chama chochote Tanzania hii ambacho hakitamani kupendwa na Wazanzibari. Si chama tawala wala Upinzani...
Moja kwa moja kwa wachezaji wa Simba na bila kupepesa. Mgunda amejitahidi kuwabadilisha wachezaji watembee, mpira utembee na kuchangamka lakini bado wachezaji wanajisahau.
Jana ilikuwa Yanga wanalala mapema. Hebu tazama dakika za mwanzo kasi ya Simba ilikuwa kubwa na kuwalazimisha Yanga kuacha...
Mimi nadhani huo mvuto unaosema umeshindwa kuweka vigezo. Mvuto uko kutokana na umuhimu wa mechi na sio ubora.
Ilivyo ni kama mashabiki wa simba na wapenzi wa soka wamerelax kidogo kwa simba kutokana na matokeo ya awali.
Tension ya Yanga ni kutokana na umuhimu wa game kutokana na matokeo ya...
Ziko nyingi hizi.
Mbona wengine ni wazoefu tu wanapiga huko za kimataifa kimya kimya na kuugulia maumivu kimya kimya wakipotea?
USHAURI.
Biashara yoyote ni Risk hilo huwezi epuka cha msingi ni kujua muda sahihi wa kuingia.
Online business ndio new generation kwenye biashara. Tukipata mda...
Sahihi Mzee wetu.
Ongeza na hizi.
1. Kuna waabudu wachonga sanamu na wanaoabudu sanamu lenyewe, muafaka unahitajika aabudiwe anaestahiki.
2. Kuna makelele na zogo. Kelele nyingi huamsha zogo na zogo jingi sio kelele Hawa wapiga kelele na zogo wanahitaji muafaka.
3. Kuna wapambanaji...
Yaani binadamu ni dhaifu tu.
Hebu tazama namna nguvu za Muumba zinavyoregulate mambo. Chukua fumbo LA rizki na mgawanyo wa chakula kwa viumbe. Ona mimea, ona wadudu, ndege, binadamu na viumbe wasioonekana. Hill in somo tosha kwa wenye akili kwamba kuna source beyond horizon zinafanya haya mambo...
Endeleeni kujifariji na hadaa za ulimwengu mkifikiri hakuna source ya maisha.
Nani alikuwa na uhakika wa kuzaliwa? Kwani binadamu wa kwanza alitoka wapi?
Utabishaje na utaachaje kuamini vitabu vitakatifu kuhusu miongozo mbali mbali wakati hip sayansi imevikuta. Vitabu?
Ni pumzi tu ndio...
Watu wanashindwa kujua kuwa mageuzi ni Process ndefu. Kuna wapinzani hawakumbuki kwamba huko Zanzibar walishamaliza mbinu zote za kistarabu kutaka kuleta mageuzi. Kama ni kufa watu wamekufa zaidi kuliko sehemu yoyote ya Tanzania hii. Kama ni migomo na kususia ndio usiseme. Kama ni kufungwa ndio...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.