TUKIO la hivi karibuni la kuvamiwa kwa Mchungaji wa Kanisa la Maombezi Utashinda, Anthony Lusekelo maarufu kama Mzee wa Upako (pichani) na watu wanaodaiwa kuwa ni majambazi limechukuwa sura mpya baada ya watumishi wawili wa Mungu kuhojiwa.
Waliohojiwa katika tuhuma hizo nzito za kuvamiwa kwa...
Habari zilizotangazwa muda huu(saa kumi na mbili) katika taarifa ya habari ya redio Clouds imemnukuu mwenyekeiti wa chama cha siasa cha NCCR mageuzi akiongea kuwa watanzania tujali zaidi utaifa badala ya ubabe kama unaofanywa na baadhi ya wanasiasa wanaotaka uongozi wa nchi kwa kutoa vitisho vya...
Na Elvan Stambuli-Globalpublishers
Mgombea ubunge katika Jimbo la Vunjo kwa tiketi ya TLP, Augustine Lyatonga Mrema, amesema anapanga kujibu mapigo kwa kuhamishia nguvu zake katika majimbo matatu ambako Chadema wana matumaini ya ushindi kutokana na chama hicho kumharibia kwa kuwaambia wapiga...
Huu ni ushauri toka kwa Dr.Bruno Munufu aliyepo safarini uarabuni kwenda TFF,tafadhari wapange mechi kati ya Taifa Star na moroco ichezwe tarehe 10/10/10 kwani siku hiyo ndio haswa yenye bahati kwa watanzania.Mechi ikichezwa tarehe 10/10/10 tutawashinda waarabu kiurahisi sana lakini ikichezwa...
Ndugu watanzania wenye nia nzuri na maendeleo ya nchi yetu hususani wapenda soka nawaomba kwa hisani yenu kuweza kumpa mawazo yaliyo mema ili kumrudisha kundini kijana Athmani Idd Chuji mchezaji wa klabu ya Yanga na timu ya Taifa.
Kwa mujibu wa rafikie wa karibu aitwae Alela wa Dodoma,ni...
Hali ya joto kali inawatesa watu nchini Sudan kiasi cha kwamba watu wanalazimika kuingia ndani ya mafriji makubwa ya viwandani ili kujipoozesha, watu watatu wamefariki dunia jana baada ya kushindwa kutoka ndani ya friji waliloingia.Joto kali nchini Sudan limepelekea kuibuka kwa biashara ambayo...
Wadau lile wimbi la wagonjwa wa vifafa limezidi kuongezeka mara dufu baada ya aliyekuwa Boss wa Chadema ndugu Bob Makani kuanguka ghafla katika uzinduzi wa kampeni za chama hicho zilizofanyika tarehe 28/08/2010 katika viwanja vya jangwani.
Mgonjwa wa kwanza alikuwa mgombea urais kupitia...
Na Mwandishi Wa Risasi
Wakati Katibu wa NEC ya CCM, Uchumi na Fedha, Amos Gabriel Makalla akitarajiwa kuzindua kampeni zake kwa kishindo Agosti 29, 2010 (Jumapili ijayo), Mzumbe, Mvomero, mke wake, Grace Makalla amenusurika kifo.
Grace, alipata ajali ya gari iliyonusa roho yake juzi (Agosti 22...
Ndoa ya aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) kwa takribani miaka 20, Amani Mwenegoha (55), imeingia kwenye skendo nzito baada ya mtumishi huyo wa dini kudaiwa ‘kumtwanga' talaka mkewe kwa kiapo cha mahakamani.
Uwazi lilipata skendo hiyo iliyokuwa...
Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Zitto Zuberi Kabwe amejipanga kikamilifu kulitetea jimbo lake la Kigoma Kaskazini na kurudi bungeni kwa kuweka program ya michango mitandaoni.
Kwa mujibu matangazo aliyoyaweka kwenye ukurasa wake wa Facebook, Zitto ametoa nambari...
Kuna jamaa yangu ameniomba nimtafutie ushauri wa msaada kwani ana gari yake Toyota Liteace Noah 1998cc,wakati anainunua mwaka jana ilikuwa inakula lita moja ya petrol kwa kilomita 9,sasa hivi inachoma lita moja kwa kilomita 7.Sasa anaomba ushauri kipi kimesababisha mabadiliko hayo na ikiwezekana...
Na Mwandishi Wetu, Mbeya
Baadhi ya waumini wa makanisa mbalimbali mkoani hapa, wako katika kilio kufuatia kitendo cha mgombea Ubunge wa CHADEMA aliyerudisha fomu, George Mtasha (50) kudakwa na jeshi la Polisi wilayani Chunya akiwa na mguu wa kushoto wa binadamu, Risasi Jumamosi linashuka...
Ndugu John Mnyika,naandika barua hii kuwakilisha mawazo na vilio vya wana Ubungo kuhusu matatizo ya miundombinu hususani ubovu wa barabara zao.
Wana Ubungo wengi wamenituma niwasiliane nawe ili kuweza kujaribu kutatua matatizo ya siku nyingi wayapatayo katika barabara zao kwavile wana imani na...
Mtoto wa Kichina mwenye umri wa miaka minane akionyesha wazi hofu iliyotanda uso wake, alisimama pembeni ya barabara akiwa amefungwa minyororo na baba yake ambaye alikuwa akijaribu kumuuza mtoto huyo kwa kupiga kelele kama wauza mitumba.
Baba wa mtoto huyo aliyejulikana kwa jina la Yong Tsui...
Ama kweli ukistaajabu ya Mussa utayaona ya Firauni.Eti mtanzania akimeza dona kwa dagaa anajisifu ameyapatia maisha,ona hao watu wa mamtoni jinsi wanavyoyafaidi maisha utafikiri wapo paradiso!Lakini mwisho wa yote hayo ni katika tumbo la ardhi(kaburini), tumche mungu jamani.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.