Kuvamiwa kwa Mzee wa Upako, Askofu na Mchungaji mbaroni

Pengo

JF-Expert Member
Oct 15, 2009
579
10
TUKIO la hivi karibuni la kuvamiwa kwa Mchungaji wa Kanisa la Maombezi Utashinda, Anthony Lusekelo maarufu kama Mzee wa Upako (pichani) na watu wanaodaiwa kuwa ni majambazi limechukuwa sura mpya baada ya watumishi wawili wa Mungu kuhojiwa.

Waliohojiwa katika tuhuma hizo nzito za kuvamiwa kwa Mzee wa Upako na kuibiwa mamilioni ya shilingi ni Askofu David Mwasota na Mchungaji Frank Chacha ambao wanatoa huduma kwenye kanisa la Naioth Gospel Assembly lililopo Ubungo Kibangu jijini Dar es Salaam.

Vyanzo vyetu vya habari vilidai kwamba Mchungaji David Mwasota alikamatwa na polisi na kuhojiwa kwa zaidi ya saa 6 katika Kituo cha Mbezi jijini Dar es Salaam kuhusiana na tukio hilo na kutakiwa kumfikisha katika kituo hicho Mchungaji wake Frank Chacha.

Kwa mujibu wa vyanzo hivyo, inadaiwa kuwa mara baada ya Askofu Mwasota kumfikisha kituoni hapo, Mchungaji Chacha alihojiwa kwa siku mbili mfululizo bila kupata dhamana kwa madai kwamba kama angeachiwa haraka angevuruga upelelezi wa polisi.

Mchungaji Anthony Lusekelo.
“Baada ya Askofu Mwasota kumfikisha Chacha kituoni hapo, Mchungaji huyo alishikiliwa kwa muda wa siku mbili akihojiwa,” kimoja cha chanzo chetu ambacho tunakihifadhi jina lake kilisema.

Iliendelea kudaiwa kwamba Mzee wa Upako alihisi kuwa Mchungaji Chacha alihusika na tukio hilo kutokana na ujumbe mfupi wa maneno (SMS) aliomtumia, hivyo akaamua kumfikisha kwenye vyombo vya sheria.

Inadaiwa kwamba ujumbe uliotumwa kwenda kwa Mzee wa Upako ulikuwa ni wa kumpa pole kuhusiana na tukio la kuvamiwa na majambazi kisha kuporwa mamilioni ya pesa usiku wa kuamkia Septemba 27, mwaka huu.

Hata hivyo, vyanzo hivyo vilisema kwamba ujumbe aliotumiwa Lusekelo haukuwa na nia mbaya ila aliutilia mashaka kwa kuwa ulimuuliza kama alimkosea Mungu kutokana na kukumbwa na balaa hilo.

“Hilo la kuambiwa kwamba amemkosea Mungu ndilo lililomfanya mtumishi huyo kuona kama vile alikuwa akifanyiwa dhihaka katika tukio hilo la kuibiwa pesa,” kilidai chanzo chetu.

Inadaiwa kuwa Mzee wa Upako alishindwa kuelewa maana ya ujumbe huo na kuhisi kufanyiwa dhihaka na mtumishi mwenzake Chacha ambaye hakuwa na lengo baya.

Aidha, chanzo hicho kilisema kwamba hii ni mara ya pili kwa Mzee wa Upako kumtuhumu Mchungaji Chacha ambaye zamani alikuwa anatoa huduma katika kanisa lake kabla ya kutokea hali ya kutoelewana ambapo alihamia kwa mlezi wake Askofu Mwasota.

“Inawezekana ana bifu na Mchungaji Chacha kutokana na kuondoka katika huduma yake ndiyo maana ameamua kufanya hivyo, ni jambo la kusikitisha watumishi kupelekana polisi na haya siyo maadili ya kitumishi kabisa,” kiliendelea kusema chanzo hicho.

Kwa upande wa Askofu Mwasota alisema kwamba baada ya kutoka kituoni kesho yake (Jumanne) alimfuata Mchungaji Chacha na kumpeleka Kituo cha Polisi Mbezi ambapo alikaa kwa muda wa siku mbili ndipo alimtoa kwa dhamana.

“Mzee wa Upako ni mwanangu na sijagombana naye na sina matatizo naye, ila sijui kwa yeye na Mchungaji Chacha wana matatizo gani kwa sababu walikuwa watu wa karibu, nitaongea naye vizuri nijue tofauti zao,” alisema Askofu Mwasota.

Kwa upande wake Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kinondoni, Elias Kalinga alipopigiwa simu siku ya Jumapili kuzungumzia sakata hilo alisema bado analifuatilia na tulipomtafuta kabla ya gazeti hili kuingia mitamboni simu zake zote hazikupatikana.
 
Du kweli hali ni tete kwa makanisa/vyombo hivi vya kuabudiwa hasa siku hizi. God forbid!!
 
Du!bifu mbaka kwenye nyumba za mungu,kweli dunia imekwisha.Sasa tutakimbilia wapi?
 
Udaku!!!
 
makanis aya kweli yataonekana tu na yameshaonekana, Wacha wachungaji wampe Kaisari vya kwake
 
Source please !!!!!!!.

Please trash that guy(Pengo).

Amekuwa kinara wa kuanzisha mada zenye chokochoko za udini. Kazi yake ni kuzungumzia Wachungaji na Makasisi. Consequently, amekuwa akiwaudhi baadhi ya watu na hata kufikia kumtukana. Akitukanwa, Mods wanawafungia watukanaji. He never discusses Imams. Jina lake la Pengo (ni kejeli kwa Kanisa Katoliki). Ameshawahi ku-comment kwenye moja ya posts zake kuwa, "Dr Slaa hawezi kuwa rais. Kama Kikwete hawezi kuwa rais basi bira awe Lipumba. Huu ni udini.

These are the sort of people we don't want on JF.
 
Mzee wa upako ameibiwa na kumutuhumu askofu Mwasota!!!!!!!!!!!!

Haruni Sanchawa na Gladness Mallya

MCHUNGAJI wa Kanisa la Maombezi – Utashinda, Anthony Lusekelo maarufu kama Mzee wa Upako usiku wa kuamkia jana alivamiwa kanisani na kundi la watu wanaosadikiwa kuwa ni majambazi na kumteka kwa muda kabla ya kumpora mamilioni ya shilingi.

Gazeti hili lilifika eneo la tukio kanisani kwake, maeneo ya Ubungo Kibangu na kufanikiwa kupewa taarifa ya jinsi ujambazi huo ulivyofanyika ambapo mtoa habari alisema kundi la majambazi lilivamia kanisa hilo usiku.

"Kundi hilo la watu lilifika maeneo hayo majira ya saa tisa na kuwateka walinzi ambao walikuwepo hapo hadi saa kumi na moja alfajiri kuamkia jana," alisema mtoa habari wetu kwa sharti la kutoandika jina lake gazetini.

Imedaiwa kuwa kabla ya kufanya uvamizi huo, mlinzi wa kanisa hilo (jina tulihifadhi kwa sababu za kiusalama ), alivamiwa na kufungwa kamba na baadaye kunyang'anywa bunduki na majambazi hao.

Chanzo chetu hicho cha habari kiliongeza kuwa baada ya kumkamata mlinzi huyo, majambazi hao walienda moja kwa moja hadi kwa Mchungaji Lusekelo na kumteka kwa muda kabla ya kumuamuru atoe pesa alizokuwanazo vinginevyo wangemuua.

Habari zinasema Mzee wa Upako aliamua kutoa pesa ambazo inadaiwa ni zaidi ya shilingi milioni 20 ambazo inaaminika zilitokana na sadaka za waumini wake. Kiongozi huyo wa kanisa hakujeruhiwa.

Habari za kiuchunguzi zinaonyesha kuwa Mchungaji Lusekelo hakai kanisani hapo na kwamba ni mara chache hulala katika nyumba hiyo ya ibada hasa anapokuwa na kazi maalum.

Gazeti hili lilipowasiliana na Kamanda wa Mkoa wa Kipolisi wa Kinondoni, Elias Kalinga alikiri kutokea kwa tukio hilo na amedai kuwa hadi sasa watu wawili wanashikiliwa na polisi kuhusiana na tukio hilo.

"Uzoefu unaonyesha kuwa kuna baadhi ya makampuni ya ulinzi hapa nchini yana watumishi ambao si waaminifu, natoa wito kwa wamiliki wa makampuni binafsi ya ulinzi kabla ya kuajiri mlinzi , yahakikishe uaminifu wake kwanza," alisema Kalinga.

Aliongeza kuwa kampuni za ulinzi zinalinda mamilioni ya mali za watu lakini anashangazwa kuona baadhi ya walinzi wao wanauza siri za muajiri wao kwa watu wasio raia wema.

Waandishi wetu walifanya jitihada za kumtafuta Mzee wa Upako ili kusikia kauli yake juu ya tukio hilo bila mafanikio.
Kwa mujibu wa walinzi waliokutwa kanisani hapo ambao hawakupenda majina yao kuandikwa gazetini, kiongozi huyo alikuwa amekwenda nyumbani kwake Mbezi kupumzika.
 
? ? ? ? ?

Please trash that guy(Pengo).

Amekuwa kinara wa kuanzisha mada zenye chokochoko za udini. Kazi yake ni kuzungumzia Wachungaji na Makasisi. Consequently, amekuwa akiwaudhi baadhi ya watu na hata kufikia kumtukana. Akitukanwa, Mods wanawafungia watukanaji. He never discusses Imams. Jina lake la Pengo (ni kejeli kwa Kanisa Katoliki). Ameshawahi ku-comment kwenye moja ya posts zake kuwa, "Dr Slaa hawezi kuwa rais. Kama Kikwete hawezi kuwa rais basi bira awe Lipumba. Huu ni udini.

These are the sort of people we don't want on JF.
 
haya makanisa
ya kizazi kipya
aka dot com
matata matupu
waumini choka mbaya
wachungaji
wanaibiwa mamilion
asee

Mi nina mashaka nazo haya makanisa sana! Lakini tutajuga muda si mrefu kwn yaweza ikawa ndiyo yale maandiko yaliyokwisha sema!
 
tukio la hivi karibuni la kuvamiwa kwa mchungaji wa kanisa la maombezi utashinda, anthony lusekelo maarufu kama mzee wa upako (pichani) na watu wanaodaiwa kuwa ni majambazi limechukuwa sura mpya baada ya watumishi wawili wa mungu kuhojiwa.

Waliohojiwa katika tuhuma hizo nzito za kuvamiwa kwa mzee wa upako na kuibiwa mamilioni ya shilingi ni askofu david mwasota na mchungaji frank chacha ambao wanatoa huduma kwenye kanisa la naioth gospel assembly lililopo ubungo kibangu jijini dar es salaam.

Vyanzo vyetu vya habari vilidai kwamba mchungaji david mwasota alikamatwa na polisi na kuhojiwa kwa zaidi ya saa 6 katika kituo cha mbezi jijini dar es salaam kuhusiana na tukio hilo na kutakiwa kumfikisha katika kituo hicho mchungaji wake frank chacha.

Kwa mujibu wa vyanzo hivyo, inadaiwa kuwa mara baada ya askofu mwasota kumfikisha kituoni hapo, mchungaji chacha alihojiwa kwa siku mbili mfululizo bila kupata dhamana kwa madai kwamba kama angeachiwa haraka angevuruga upelelezi wa polisi.

mchungaji anthony lusekelo.
"baada ya askofu mwasota kumfikisha chacha kituoni hapo, mchungaji huyo alishikiliwa kwa muda wa siku mbili akihojiwa," kimoja cha chanzo chetu ambacho tunakihifadhi jina lake kilisema.

Iliendelea kudaiwa kwamba mzee wa upako alihisi kuwa mchungaji chacha alihusika na tukio hilo kutokana na ujumbe mfupi wa maneno (sms) aliomtumia, hivyo akaamua kumfikisha kwenye vyombo vya sheria.

Inadaiwa kwamba ujumbe uliotumwa kwenda kwa mzee wa upako ulikuwa ni wa kumpa pole kuhusiana na tukio la kuvamiwa na majambazi kisha kuporwa mamilioni ya pesa usiku wa kuamkia septemba 27, mwaka huu.

Hata hivyo, vyanzo hivyo vilisema kwamba ujumbe aliotumiwa lusekelo haukuwa na nia mbaya ila aliutilia mashaka kwa kuwa ulimuuliza kama alimkosea mungu kutokana na kukumbwa na balaa hilo.

"hilo la kuambiwa kwamba amemkosea mungu ndilo lililomfanya mtumishi huyo kuona kama vile alikuwa akifanyiwa dhihaka katika tukio hilo la kuibiwa pesa," kilidai chanzo chetu.

Inadaiwa kuwa mzee wa upako alishindwa kuelewa maana ya ujumbe huo na kuhisi kufanyiwa dhihaka na mtumishi mwenzake chacha ambaye hakuwa na lengo baya.

Aidha, chanzo hicho kilisema kwamba hii ni mara ya pili kwa mzee wa upako kumtuhumu mchungaji chacha ambaye zamani alikuwa anatoa huduma katika kanisa lake kabla ya kutokea hali ya kutoelewana ambapo alihamia kwa mlezi wake askofu mwasota.

"inawezekana ana bifu na mchungaji chacha kutokana na kuondoka katika huduma yake ndiyo maana ameamua kufanya hivyo, ni jambo la kusikitisha watumishi kupelekana polisi na haya siyo maadili ya kitumishi kabisa," kiliendelea kusema chanzo hicho.

Kwa upande wa askofu mwasota alisema kwamba baada ya kutoka kituoni kesho yake (jumanne) alimfuata mchungaji chacha na kumpeleka kituo cha polisi mbezi ambapo alikaa kwa muda wa siku mbili ndipo alimtoa kwa dhamana.

"mzee wa upako ni mwanangu na sijagombana naye na sina matatizo naye, ila sijui kwa yeye na mchungaji chacha wana matatizo gani kwa sababu walikuwa watu wa karibu, nitaongea naye vizuri nijue tofauti zao," alisema askofu mwasota.

Kwa upande wake kamanda wa polisi mkoa wa kinondoni, elias kalinga alipopigiwa simu siku ya jumapili kuzungumzia sakata hilo alisema bado analifuatilia na tulipomtafuta kabla ya gazeti hili kuingia mitamboni simu zake zote hazikupatikana.
habari ndo hii
 
TUKIO la hivi karibuni la kuvamiwa kwa Mchungaji wa Kanisa la Maombezi Utashinda, Anthony Lusekelo maarufu kama Mzee wa Upako (pichani) na watu wanaodaiwa kuwa ni majambazi limechukuwa sura mpya baada ya watumishi wawili wa Mungu kuhojiwa.

Waliohojiwa katika tuhuma hizo nzito za kuvamiwa kwa Mzee wa Upako na kuibiwa mamilioni ya shilingi ni Askofu David Mwasota na Mchungaji Frank Chacha ambao wanatoa huduma kwenye kanisa la Naioth Gospel Assembly lililopo Ubungo Kibangu jijini Dar es Salaam.

Vyanzo vyetu vya habari vilidai kwamba Mchungaji David Mwasota alikamatwa na polisi na kuhojiwa kwa zaidi ya saa 6 katika Kituo cha Mbezi jijini Dar es Salaam kuhusiana na tukio hilo na kutakiwa kumfikisha katika kituo hicho Mchungaji wake Frank Chacha.

Kwa mujibu wa vyanzo hivyo, inadaiwa kuwa mara baada ya Askofu Mwasota kumfikisha kituoni hapo, Mchungaji Chacha alihojiwa kwa siku mbili mfululizo bila kupata dhamana kwa madai kwamba kama angeachiwa haraka angevuruga upelelezi wa polisi.

Mchungaji Anthony Lusekelo.
“Baada ya Askofu Mwasota kumfikisha Chacha kituoni hapo, Mchungaji huyo alishikiliwa kwa muda wa siku mbili akihojiwa,” kimoja cha chanzo chetu ambacho tunakihifadhi jina lake kilisema.

Iliendelea kudaiwa kwamba Mzee wa Upako alihisi kuwa Mchungaji Chacha alihusika na tukio hilo kutokana na ujumbe mfupi wa maneno (SMS) aliomtumia, hivyo akaamua kumfikisha kwenye vyombo vya sheria.

Inadaiwa kwamba ujumbe uliotumwa kwenda kwa Mzee wa Upako ulikuwa ni wa kumpa pole kuhusiana na tukio la kuvamiwa na majambazi kisha kuporwa mamilioni ya pesa usiku wa kuamkia Septemba 27, mwaka huu.

Hata hivyo, vyanzo hivyo vilisema kwamba ujumbe aliotumiwa Lusekelo haukuwa na nia mbaya ila aliutilia mashaka kwa kuwa ulimuuliza kama alimkosea Mungu kutokana na kukumbwa na balaa hilo.

“Hilo la kuambiwa kwamba amemkosea Mungu ndilo lililomfanya mtumishi huyo kuona kama vile alikuwa akifanyiwa dhihaka katika tukio hilo la kuibiwa pesa,” kilidai chanzo chetu.

Inadaiwa kuwa Mzee wa Upako alishindwa kuelewa maana ya ujumbe huo na kuhisi kufanyiwa dhihaka na mtumishi mwenzake Chacha ambaye hakuwa na lengo baya.

Aidha, chanzo hicho kilisema kwamba hii ni mara ya pili kwa Mzee wa Upako kumtuhumu Mchungaji Chacha ambaye zamani alikuwa anatoa huduma katika kanisa lake kabla ya kutokea hali ya kutoelewana ambapo alihamia kwa mlezi wake Askofu Mwasota.

“Inawezekana ana bifu na Mchungaji Chacha kutokana na kuondoka katika huduma yake ndiyo maana ameamua kufanya hivyo, ni jambo la kusikitisha watumishi kupelekana polisi na haya siyo maadili ya kitumishi kabisa,” kiliendelea kusema chanzo hicho.

Kwa upande wa Askofu Mwasota alisema kwamba baada ya kutoka kituoni kesho yake (Jumanne) alimfuata Mchungaji Chacha na kumpeleka Kituo cha Polisi Mbezi ambapo alikaa kwa muda wa siku mbili ndipo alimtoa kwa dhamana.

“Mzee wa Upako ni mwanangu na sijagombana naye na sina matatizo naye, ila sijui kwa yeye na Mchungaji Chacha wana matatizo gani kwa sababu walikuwa watu wa karibu, nitaongea naye vizuri nijue tofauti zao,” alisema Askofu Mwasota.

Kwa upande wake Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kinondoni, Elias Kalinga alipopigiwa simu siku ya Jumapili kuzungumzia sakata hilo alisema bado analifuatilia na tulipomtafuta kabla ya gazeti hili kuingia mitamboni simu zake zote hazikupatikana.

Binafsi huwa siwa amini hawa wachungaji wa makanisa ya kiroho wanao jiita mitume sijui manabii,lwakatare,gwajima,lusekelo,mwingira,onesmo ndege,n.k n.k hawa wote ni manabii wa uongo na hilo halina ubishi,mchungaji pekee hpa nchini ni kakobe na mwalimu mwakasege tu hao wengine ni washirika wa shetani.na Mungu atawaonyesha uwepo wake.
 
Please trash that guy(Pengo).

Amekuwa kinara wa kuanzisha mada zenye chokochoko za udini. Kazi yake ni kuzungumzia Wachungaji na Makasisi. Consequently, amekuwa akiwaudhi baadhi ya watu na hata kufikia kumtukana. Akitukanwa, Mods wanawafungia watukanaji. He never discusses Imams. Jina lake la Pengo (ni kejeli kwa Kanisa Katoliki). Ameshawahi ku-comment kwenye moja ya posts zake kuwa, "Dr Slaa hawezi kuwa rais. Kama Kikwete hawezi kuwa rais basi bira awe Lipumba. Huu ni udini.

These are the sort of people we don't want on JF.

Uliwahi kumsoma mtu anaitwa muft lion?umelielewa hilo jina
 
Ni muendelezo wa Tuhuma za viongozi Makanisa wa Kiuroho
Kimataifa;
Mchungaji Bil Grahams ni Bilionea amekuwa tajiri kuptia waumini wake, ana ndege binafsi kama Raisi na kanisa amelirithisha kwa mtoto. Marekani wanapata pesa kupitia kwake na kufumbia macho mambo yake.
TB joshua ni Bilionea kupitia wafuasi maskini. Alipewa kibali cha jengo la ghorofa tano akajenga nane, likaporomoka na kuua 116. Sasa Ana kesi ya kujibu mahakamani na anaweza kufungwa. Nigeria inapata pesa za watalii wa kidini kupitia kwake.
Mchungaji Gilbert Deya Mkenya tajiri amejificha London, yeye na mkewe wana kesi ya kuiba watoto wachanga Kenya, kuwapatia waumuni wagumba kwa kisingizio cha miujiza. Anatakiwa mahakamani Kenya kujibu mashtaka. Pia amemnyanyasa Kingono msichana wa miaka 14.
Tanzania;
Kiongozo wa Makanisa ya Kiuroho, mfano Getready Rutare wanawashirikisha wa-Kongo man kwenye biashara za kusafirisha binadamu na nyinginezo.. Ni bilionea na wanalaghai maskini kutumia NGO ya yatima na dirisha la siasa kupata mapesa /kuhadaa umma.
Mch Fuata, ana laghai waumini, kuchukua viwanja mpaka vya beach, anamiliki ardhi Sumbawanga na anamiliki benki yake. Ana migogoro na kesi ya ardhi/ unyumba wa watu.
Mch Yusuf Kwajina, anamiliki magari ya lukuki ya kifahari - FOGO la Kivita au Amercan Hummer , pia helikkopta binafsi na anaishi maisha ya starehe na anamiliki majumba ya maghrofa (Global Publisher).
Mch. Zake Kobe, Jaaji wa Mahakam ameripotiwa akisema kanisa ni yake mali ni yake, anachukua 10% pensheni ya waumini maskini, anapokelewa Burundi na JNIA kama Raisi. Waumini wamemfikisha mahakamani kudai chao.
Wengine: Huko Tegeta na kwinginepo wametuhumiwa kushiriki biashara ya Mihadarati.
Wale Wachungaji wa DECI nao wameshtakiwa kwa kuwaibia waumini maskini.
Mzee Upapako alisema Kanisa lake lingekuwa barabarani wenzake wangemkoma kwani angewaazoa waumini wote !
Viongozi hawa wanalichafua kanisa, wamwinue na kumweka Mungu juu badala ya kujiinua wenyewe na kutafuta sifa na umaarufu duniani.
 
Back
Top Bottom