Hili soko ni Maarufu kama Mahakama ya ndizi , liko Mabibo , Mkoa wa Dar es Salaam , Ushuru unaopatikana kwenye soko hili kwa mwaka ni zaidi ya hela ya madafu Bil 1.2
Toa maoni yako ...
Tuweke mzigo mezani
Ndugu zangu kuna hii taarifa, yupo yeyote ambaye anajua ukweli wake, maana mtu ambaye yupo ndani mgodini amenitumia ujumbe huu ambao nimeambatanisha na picha alizotuma...
Duniani ziwa Tanganyika ni la pili kwa ukubwa baada ya ziwa Baikal. Ziwa Baikal lina ujazo wa kilomita za ujazo 23,000 huku Tanganyika likiwa na 18,900. Nyasa lina 8,500 na Victoria lina 2,500...
Ni wiki ya Pili sasa hadi Leo Tarehe 13/02/2021 vifusi vilivyowekwa katika barabara ya Bonyokwa ya Segerea kuelekea Bonyokwa kwa Kichwa havijasawazishwa.
Hii imekuwa kero kubwa kwa watumiaji wa...
Kwa siku za hivi karibuni, hospital ya Dar Group (T.O.H.S) imekuwa na mgogoro na wafanyakazi wake, hali inayopelekea mzoroto wa huduma za afya katika hospitali hiyo iliyopo eneo la Tazara ikiwa...
Mambo ya uchumi wa kati!
Kwa hapa Bongo, kwa uzoefu wangu mdogo. Maeneo mengi ya umma hutoza 200 kwa huduma hiyo pendwa, na 500 kwa kuoga.
Hii imekuwa tofauti katika stendi ya daladala Mbezi...
Ushauri wa bure kwa serikali ya awamu hii. Tumbueni hawa Tanroads Biharamulo. Sanjali na hili yaweza kuwa busara kuifunga kabisa barabara ya Rusahunga Benaco na ku i declare impassable kupisha...
Tumelizungumza sana hilo jambo la angalau barabara ile irekebishwe kwa kufukiwa mashimo makubwa lakini hakuna hatua yeyote inayochukuliwa na barabara imekuwa mbovu kupindukia!
Ikumbukwe barabara...
Awali natoa pongezi kwa serikali kwa kuwasilisha bungeni muswada wa sheria ya kuyaondoa majukumu ya udhibiti ubora wa chakula na vipodozi kutoka TFDA na kuyahamishia TBS. Ni hatua nzuri ktk...
Tukitoa majanga ya asili kama mafuriko,ukame wa ghafla,magonjwa kunabaadhi ya mambo hufanywa na mkulima mwenyewe na kusababisha kuangukia pua na akaishia kulaani na kulaumu kilimo maisha yake yote...
Habari zenu.
Kwa kweli nimeshangazwa sana ktk mabasi yaendayo haraka.
Inakuwaje nakupa pesa yangu ya kutaka kupata tiketi, mfano nakupa 1000Tshs, unatakiwa unirudishie 350Tshs sababu nauli ni...
Wachina juzi kule kwao wamesherehekea ufunguzi wa train yenye very high speed. high speed trains ni za muda mrefu china na zinasaidia sana nchini china, nilikuwa najiuliza, watz tunashindwa nini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.