Uongozi wa Chuo Kikuu cha UDOM uongeze umakini mkubwa katika usimamizi wa masomo ya postgraduate.
Wanafunzi wengi wa postgraduate wanacheleweshwa kimaksudi na kulazimishwa kulipa pesa nyingi za...
Naibu Waziri wa Ofisi ya Rais, Utumishi na Utawala Bora, Regina Ndege Qwaray, Aprili 17, 2026 akiwa Bungeni amefafanua hoja ya wasailiwa kada tofauti kukutana na maswali tofauti na masomo yao...
Subject: A Message from an Egyptian Brother: 25 Days of Silence and Concern at Dar Port
Habari Tanzania,
I am writing this not as an official, but as an Egyptian citizen who has lived and worked...
Unapeleka transfer pale Halmashauri ya Ilemela Kitengo cha Ardhi umenunua ardhi tuseme ili wakupe form Namba 33 ya transfer apart kuwa umelipia malipo ya Serikali under control number...
Wananchi wa vitongoji vya Kikungili, Omukajiji, Rushanje na Rwandalo Kata ya Nyaishozi, wilayani Karagwe mkoani Kagera, tunakabiliwa wanalazimika kutumia maji yasiyo safi na salama kutoka kwenye...
Kila Kitengo pale TRA kinatakiwa kuwa na customer care yake kama haiwezekani hivyo basi wagawe majukumu hata kidogo, wasiwe general tu or else wapewe authority ya kila kitu kwenye this new system...
Malalamiko ya ucheleweshaji wa kutoa vibali vya uhamisho kwa watumishi wa Taasisi za Umma ( Mfano: Elimu) walioomba kuhamia vituo vingine vya kazi kwasababu mbalimbali yameendelea kuwa mengi siku...
Nina mgonjwa wangu ambaye amelazwa katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Sekou-Toure (Mwanza), moja ya changamoto ambayo nimeishuhudia hapa ni kwamba kuna tatizo kubwa sana la umeme kukatika mara kwa...
Watumiaji wa Stendi ya NaneNane Mkoani Mbeya tuna changamoto inayohusiana na usalama wetu, kwani nyakati za Usiku abiria wanaoshuka hapo wanakutana na giza kwa asilimia kubwa.
Taa zipo ila...
Ukifuatilia ziara ya Waziri Mkuu Dr. Mwigulu Nchemba ya hivi karibuni; utabaini kuwa kuna mamia kwa maelfu ya wananchi hujitokeza kwenye mikutano yake wakiwa na mabango, mafaili, nyaraka za...
Hii ni barabara ya Tarime Mjini – Nyamongo, iko katika hali mbaya na wahusika wala hawajali. Viongozi wanaohusika na Barabara na wale wengine wote hawalioni hili? Ubovu huu ni chanzo cha...
Kuna chemba ya maji taka inayotiririsha uchafu kando ya Soko jipya la Kariakoo, ambalo limezinduliwa hivi karibuni na Rais Samia Suluhu Hassan. Chemba hiyo ipo kwenye kona ambapo daladala za...
Habarini za mchana,
Wakuu mimi huwa situmii pombe, ni juice na soda tu na soda yangu pendwa ni Pepsi.
Kila siku huwa nakunywa Pepsi tena napenda ikiwa baridi sana. Nilianza kunywa moja kwa siku...
Stendi ya Mwenge ambayo inasimamiwa na Halmashauri ya Mansapaa ya Kinondoni ina mwaka mzima tangu ilipoanza kutumika, ambapo miundombinu mingi inayozunguka kituo hicho cha daladala imekamilika...
Barabara ya Mwanza Mjini kwenda Kangaye ni mbovu sana magari hayapiti kiasi cha kuleta adha kwa wanaoitumia kwenda mjini, wanalazimika kutumia gharama kubwa ikiwemo kupanda Bodaboda.
Tunaomba...
Baada ya Wananchi mbalimbali kupitia Jukwaa la JamiiForums.com kuweka wazi malalamiko yao ya kutopata taarifa ya kujua lini hasa kitambulisho cha NIDA kinakuwa tayari kwa wale wapya waliojisajili...
Ofisi ya Mkurugenzi wa Jiji la Dar es salaam inakanusha taarifa zinazosambaa katika baadhi ya majukwaa ya kijamii na vyanzo visivyo rasmi, zinazodai kuwa watumishi wa mikataba katika kitengo cha...
Mimi ni Mkazi wa Kijiji cha Kishangazi, Kata ya Shaghayu, Wilaya ya Lushoto Mkoani Tanga. Shule yetu ya Msingi Kishangazi, hapa kijijini ina Mwalimu mmoja tu kuanzia chekechea hadi darasa la saba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.