Responded Threads

Ncha Kali
KERO Responded 
Mambo ya uchumi wa kati! Kwa hapa Bongo, kwa uzoefu wangu mdogo. Maeneo mengi ya umma hutoza 200 kwa huduma hiyo pendwa, na 500 kwa kuoga. Hii imekuwa tofauti katika stendi ya daladala Mbezi...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
brazaj
KERO Responded 
Ushauri wa bure kwa serikali ya awamu hii. Tumbueni hawa Tanroads Biharamulo. Sanjali na hili yaweza kuwa busara kuifunga kabisa barabara ya Rusahunga Benaco na ku i declare impassable kupisha...
3 Reactions
52 Replies
8K Views
alexelias
KERO Responded 
Tumelizungumza sana hilo jambo la angalau barabara ile irekebishwe kwa kufukiwa mashimo makubwa lakini hakuna hatua yeyote inayochukuliwa na barabara imekuwa mbovu kupindukia! Ikumbukwe barabara...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
deonova
DOKEZO Responded 
Awali natoa pongezi kwa serikali kwa kuwasilisha bungeni muswada wa sheria ya kuyaondoa majukumu ya udhibiti ubora wa chakula na vipodozi kutoka TFDA na kuyahamishia TBS. Ni hatua nzuri ktk...
8 Reactions
32 Replies
6K Views
Markomx
DOKEZO Responded 
Tukitoa majanga ya asili kama mafuriko,ukame wa ghafla,magonjwa kunabaadhi ya mambo hufanywa na mkulima mwenyewe na kusababisha kuangukia pua na akaishia kulaani na kulaumu kilimo maisha yake yote...
23 Reactions
27 Replies
6K Views
barafuyamoto
KERO Responded 
Habari zenu. Kwa kweli nimeshangazwa sana ktk mabasi yaendayo haraka. Inakuwaje nakupa pesa yangu ya kutaka kupata tiketi, mfano nakupa 1000Tshs, unatakiwa unirudishie 350Tshs sababu nauli ni...
16 Reactions
88 Replies
9K Views
Wachina juzi kule kwao wamesherehekea ufunguzi wa train yenye very high speed. high speed trains ni za muda mrefu china na zinasaidia sana nchini china, nilikuwa najiuliza, watz tunashindwa nini...
1 Reactions
60 Replies
9K Views
Back
Top Bottom