KERO Mwanza, ukosefu wa maji ni shida kubwa ya muda mrefu

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

seneni

Member
Jul 28, 2023
5
4
Wapendwa wadau habarini,

Mkoa wa Mwanza na viunga vyake (Nyamagana) kumekua na ukosefu mkubwa wa maji unaopelekea watu kuhangaingaika Kila kukicha.

Serekari ilitamka December mradi mkubwa wa maji (Butimba utakua umekamilika) mpaka sasa hakuna kitu.

Umeme: mgao wa maji uliokuepo sasa umetoweka na hii ni kutokana na ukosefu wa umeme.

Huwezi Amini (Nyegezi mitaaa mingi wiki takriba ya pili hakuna maji) ukifuatilia wanadai hakuna maji kwa sababu pampu hazisukumi, hakuna umeme✍️Very simple answer!

Mkoa wa Mwanza mwezi uliopita umekumbwa na kipindipundi ampampo moja ya sababu ya kitaalami ni uchafu. Sasa kwa hali hii ya mgao wa maji magonjwa haya yataisha?

Watendaji wa idara ya maji Mwanza mnapaswa kujitafakari kama mnatosha kwenye wanafasi zenu. Haiwezekani ziwa liwe hapa maji yawe shida na kisingizio ni umeme, hata kabla umeme haujawa shida maji Mwanza hata yalikuwa tabu!

Tambueni mnalipwa kwa Kodi zetu. Vyeo ni dhamana. Hamtoshi kwenye ofisi hizo.

Mwanza maji ni shida tena ni shida iliyo pitiliza mipaka.

Nawasilisha🙏🙏🙏
 
Yaani Mkoa umezungukwa na Ziwa kubwa kabisa, halafu wananchi hawana maji!! Bila shaka serikali ya ccm inatakiwa kujitafakari.

Maji hayo hayo yanayoanzia Victoria, wenzetu wa Misri wanayachezea tu wapendavyo!! Huku kwetu watu wanalia ukosefu wa maji!!
 
Maji maji maji maji maji maji
Sukari sukari sukar sukari sukari
Umeme umeme umeme umeme
Nauli nauli nauli nauli nauli nauli nauli
Ajira ajira ajira ajira ajira ajira ajira ajira
 
Wapendwa wadau habarini,

Mkoa wa Mwanza na viunga vyake (Nyamagana) kumekua na ukosefu mkubwa wa maji unaopelekea watu kuhangaingaika Kila kukicha.

Serekari ilitamka December mradi mkubwa wa maji (Butimba utakua umekamilika) mpaka sasa hakuna kitu.

Umeme: mgao wa maji uliokuepo sasa umetoweka na hii ni kutokana na ukosefu wa umeme.

Huwezi Amini (Nyegezi mitaaa mingi wiki takriba ya pili hakuna maji) ukifuatilia wanadai hakuna maji kwa sababu pampu hazisukumi, hakuna umemeVery simple answer!

Mkoa wa Mwanza mwezi uliopita umekumbwa na kipindipundi ampampo moja ya sababu ya kitaalami ni uchafu. Sasa kwa hali hii ya mgao wa maji magonjwa haya yataisha?

Watendaji wa idara ya maji Mwanza mnapaswa kujitafakari kama mnatosha kwenye wanafasi zenu. Haiwezekani ziwa liwe hapa maji yawe shida na kisingizio ni umeme, hata kabla umeme haujawa shida maji Mwanza hata yalikuwa tabu!

Tambueni mnalipwa kwa Kodi zetu. Vyeo ni dhamana. Hamtoshi kwenye ofisi hizo.

Mwanza maji ni shida tena ni shida iliyo pitiliza mipaka.

Nawasilisha
Hii imeenda
 
Wapendwa wadau habarini,

Mkoa wa Mwanza na viunga vyake (Nyamagana) kumekua na ukosefu mkubwa wa maji unaopelekea watu kuhangaingaika Kila kukicha.

Serekari ilitamka December mradi mkubwa wa maji (Butimba utakua umekamilika) mpaka sasa hakuna kitu.

Umeme: mgao wa maji uliokuepo sasa umetoweka na hii ni kutokana na ukosefu wa umeme.

Huwezi Amini (Nyegezi mitaaa mingi wiki takriba ya pili hakuna maji) ukifuatilia wanadai hakuna maji kwa sababu pampu hazisukumi, hakuna umeme✍️Very simple answer!

Mkoa wa Mwanza mwezi uliopita umekumbwa na kipindipundi ampampo moja ya sababu ya kitaalami ni uchafu. Sasa kwa hali hii ya mgao wa maji magonjwa haya yataisha?

Watendaji wa idara ya maji Mwanza mnapaswa kujitafakari kama mnatosha kwenye wanafasi zenu. Haiwezekani ziwa liwe hapa maji yawe shida na kisingizio ni umeme, hata kabla umeme haujawa shida maji Mwanza hata yalikuwa tabu!

Tambueni mnalipwa kwa Kodi zetu. Vyeo ni dhamana. Hamtoshi kwenye ofisi hizo.

Mwanza maji ni shida tena ni shida iliyo pitiliza mipaka.

Nawasilisha🙏🙏🙏
Huku Moshi K'Njaro wananchi tulichanga laki 5 hadi 1M tukaleta mabomba kutoka Mlima K'Njaro na tuna maji safi sana ya kunywa; hatukumsubiri Samia wala CCM watuletee maji, hii ndio namna ya kufanya, halafu wakija CCM kuomba kura mnawaambia CHADEMA walishawahi kitaambo!
 
Back
Top Bottom