Responded Threads

Mshangai
KERO Responded 
Hivi hii serikali yetu ipo kwa ajili ya nini? Kweli inakubalije jiji kubwa kama Mwanza ambalo liko pembezoni na ziwa kubwa kuliko yote Afrika la Victoria kukaa zaidi ya wiki na maeneo yake kukosa...
7 Reactions
25 Replies
3K Views
Anonymous
DOKEZO Responded 
Juni 2023 (sikumbuki tarehe rasmi) Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) ilitoa taarifa kuwa hadi kufikia Desemba 31, 2023 kila mtu mzima Nchini Tanzania anatakiwa kuwa na Namba ya Mlipa Kodi (TIN)...
5 Reactions
11 Replies
3K Views
Torra Siabba
DOKEZO Responded 
Nianze kwa kusema ukweli kwamba Waziri Juma Aweso, Anafanya kazi kubwa ya kuhakikisha kwamba Tanzania tatizo la maji linakwisha lakini naamini watendaji wake ndio wanaomkwamisha. Ni miezi mitatu...
4 Reactions
8 Replies
2K Views
Anonymous
DOKEZO Responded 
Wakati Watanzania, Wana-Afrika Mashariki na Afrika nzima wakiendelea kutazama kuhusu ujenzi wa Reli ya Kisasa ya Standard Gauge Railway maarufu kwa jina la SGR kutoka Dar es salaam hadi Mwanza...
2 Reactions
10 Replies
3K Views
Anonymous
KERO Responded 
Habarini, naleta taarifa hii kwa masikitiko makubwa sana... Mashine ya CT SCAN katika hospitali ya Mloganzila ni mbovu takribani mwezi mmoja na nusu na hali ni mbaya, wagonjwa wengine inawapasa...
3 Reactions
5 Replies
2K Views
Mkono Mmoja
KERO Responded 
Habari za wakati huu! Moja kwa moja nawaelekea TANROADS kuhusu hii barabara ya kimkakati inayoanzia darajani kimara mwisho kuelekea tabata bonyokwa mpaka tabata segerea. Kwa muda mrefu hii...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
BigTall
DOKEZO Responded 
Wazee nendeni Shule ya Msingi Tumaini, ipo Kata ya Kimanga, Dar es Salaam kila siku kila Mwanafunzi wa Darasa la Saba anatakiwa atoe mchango Tsh. 800 na kwa siku ya Alhamisi wanachangishwa Tsh...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Seth seth
DOKEZO Responded 
Moja kwa moja kwenye hoja kuu. Hapa wilayani Ngara mkoani kagera hakuna mafuta aina ya petrol Leo siku ya nne. Wilaya hii Ina vituo vya mafuta takriban vinane vya mafuta. Lakini Kati ya hivyo...
1 Reactions
19 Replies
3K Views
Nape strikes again. Ukishaonja kula nyama za watu, kamwe hutoacha. Yuleyule aliyetuondolea bunge live wakati huo akiwa waziri wa habari kipindi cha utawala wa Magufuli, Leo tena akiwa na dhamana...
37 Reactions
110 Replies
12K Views
Roving Journalist
DOKEZO Responded 
Kuna ujumbe wa Mdau katupia picha hii na kueleza kuwa hali ilivyo katika Mbulu Mjini Mkoani Manyara Wananchi wakiwa kwenye foleni ya kupata Petrol ni baada ya takribani wiki wakikosa huduma ya...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Chui mnyama
DOKEZO Responded 
Pikipiki sasa zinakokotwa kama baiskeli, bodaboda wahaha! Bei yapaa kwa wauzaji wa videbe. Inasemekana kuna mgomo wa wamiliki wa vituo vya mafuta. Hawaridhiki na bei ya sasa. Vipi hali ya...
0 Reactions
1 Replies
649 Views
Ninawajulisha tuuuu,mpita njia wenu. CC:- Afisa Elimu Kata (Limemshinda au kajiongeza) Afisa Elimu Wilaya (Hasomeki,vikaoni haendagi) Afisa Elimu Mkoa (anajua mambo saafi kwa wa chini yake)...
1 Reactions
3 Replies
3K Views
Heparin
DOKEZO Responded 
Wakuu, Hii ni hospitali ya Amana, Kivule. Vyombo vya kuhudumia wagonjwa na kufanyia upasuaji vinasafishwa kwa maji ya baridi ya bomba bila hata kufuata taratibu sahihi za kuvitakasa. Huu ni...
8 Reactions
24 Replies
4K Views
  • Suggestion Suggestion
Colin the creator
SoC03 Responded 
UTANGULIZI: Fomu ya Polisi namba 3 (PF3) nchini Tanzania ni hati rasmi inayotumiwa na polisi kuandika ripoti za matukio mbalimbali yanayohusisha madhara ya mwili au ajali. Inatumika kama chombo...
2 Reactions
3 Replies
4K Views
Upvote 3
JanguKamaJangu
KERO Responded 
Wananchi wa Mtaa wa Majengo, Kata ya Bariadi, Halmashauri ya Mji wa Bariadi Mkoani Simiyu wako katika wakati mgumu kutokana na harufu kali na chafu inayotoka kwenye Dampo la takataka ambalo...
2 Reactions
0 Replies
1K Views
Mwachiluwi
DOKEZO Responded 
Hellow Tasaf mmekuwa kero sana kwa wananchi hasa vijijini mnaandika majina yenu ndio mnakuwa mnapokea ninyi hii sio sawa hata kidogo jana nimeshuhudia mwananch akirudi analia baada ya kwenda...
1 Reactions
40 Replies
2K Views
Farolito
DOKEZO Responded 
Mheshimiwa Waziri, Kumekuwa na mtindo wa wamiliki wa shule kuamua tu kwa utashi wao kubakiza watoto shuleni(madarasa ya mitihani) kwa kigezo kwamba wapate muda wa kumalizia mitaala tena bila...
33 Reactions
315 Replies
15K Views
REJESHO HURU
KERO Responded 
Niende kwenye hoja moja kwa moja kesho shule zinafungwa kwa ajiri ya mapumziko ya kumaliza mhula wa kwanza wa masomo kwa mwaka 2023, wazazi tunaitaji watoto wetu likizo waje wapumzike hatuitaji...
3 Reactions
19 Replies
3K Views
Biok
DOKEZO Responded 
Najihusisha na huduma za uwakala na Moja ya huduma ninayoitoa ni manunuzi ya umeme ambapo serikali pia hukusanya Kodi ya majengo Kwa TSH 1000 Kwa Kila mwezi,Kuna malalamiko mengi kutoka Kwa...
12 Reactions
66 Replies
6K Views
Bushmamy
DOKEZO Responded 
Wanufaika wa TASAF kutoka katika baadhi ya Kata za Machame Mashariki, pia baadhi ya kata zilizopo katika Wilaya ya Moshi na Moshi Vijijini Mkoani Kilimanjaro wamekosa malipo yao tangu kuanza kwa...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Back
Top Bottom