DOKEZO Serikali imsaidie Mtoto huyu anayedaiwa kulawitiwa na Mlinzi wa Kanisa Katoliki Sinza

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
A

Anonymous

Guest
Nikiwa kama raia mwema na mtumishi wa Kanisa Katoliki lililopo Sinza nimeona sio vema nami nikae kimya wakati kila wiki naenda Kanisani kumuomba Mungu kisha niache familia iteseke wakati nina nafasi ya kupaza sauti na haki ikatendeka.

Kuna mtoto ambaye nafikiri anasoma darasa la 5 au la 6 katika moja ya Shule zilizopo Sinza kama sijakosea inaweza kuwa ni pale Sinza Shule ya Msingi (sija uhakika na jina la shule).

Nilianza kumjua mtoto huyo kwa kuwa amekuwa akifika mara nyingi kwenye kwaya ya Kanisa hilo (Dar es Salaam).

Huyu mtoto ni wa kiume, alianza kuwa muumini mzuri wa Kanisa bada ya kuletwa na mzazi wake, mama mtu alifanya hivyo baada ya kufiwa na mumewe ambaye alikuwa ni Mwandishi wa Habari.

Mara baada ya msiba huo, kwa kuwa kiuchumi mama mtu hakuwa vizuri, akaamua kusogeza familia yake karibu na Kanisa ili angalau apate msaada.

Hivi karibuni ilibainika mtoto huyo amelawitiwa na mmoja wa Walinzi wa Kanisa hilo la Roma lililopo Sinza, baada ya mama mtu kubaini hilo (haikujulikana kama ni mara ngapi mtoto kafanyiwa hivyo na kama ni mlinzi peke yake au kuna mwingine), suala likafikishwa hadi Kituo cha Polisi Mabatini.

Mtuhumiwa akakamatwa na kuwekwa ndani kwa muda, lakini baada ya viongozi wa Kanisa pamoja na Viongozi wa Kwaya kufika kituoni hapo, haijulikani nini kilichoendelea lakini mtuhumiwa akaachiwa kwa dhamana huku kukiwa hakuna taarifa yoyote ya maana inayoendelea.

Licha ya kwanza vipimo vya Kitabibu kutoka kwa Daktari kuonesha wazi kuwa ni kweli Mtoto alifanyiwa ukatili huo wa kulawitiwa, hakuna kinachoendelea na dalili zilizopo ni kuwa viongozi wa Kanisa, Askari wa Kituo cha Polisi Mabatini wanataka kulizima suala hilo kinyemela.

Mtoto yupo tu nyumbani na mama yake, ameathirika kisaikolojia, mama mtu naye hajui cha kufanya kwa kuwa hana uwezo wa kupambana na watu wanaomzunguka mtuhumiwa.

Ushahidi wa tukio hili wanaujua watu wa karibu na kanisa hilo hasa Watumishi kuanzia wafanyausafi na hata baadhi ya mjirani pia wanajua.

Naomba ujumbe huu uzifikie Mamlaka husika kwa kuwa tukio tunalijua mwanzo mwisho lakini tuna hofu ya kujitokeza na kukemea kwa kuwa kama Kituo cha Polisi Mabatini, Daktari wa Hospitali ya Palestina (Sinza), Kanisa wote hawataki lijulikane kuna nini nyuma ya pazia na kwa nini?

Mwendelezo wa taarifa hii, soma hapa - Madai ya Mlinzi wa Kanisa Katoliki Sinza kumlawiti Mwanafunzi, mama wa Mtoto aomba Serikali imsaidie
 
Mungu akubariki sana ndugu msamaria binafsi uwa nafadhaishwa sana nikisikia habari kama hii na halafu tena nasikia wale ambao waliotakiwa kuwa mbele katika kukemea maovu ndiyo wanageuka kuwa watetezi wa mtenda maovu! Hivi ubinadamu wetu upo wapi? Je Uchamungu upo wapi kwa hao watumishi wa Mungu!
 
Ujumbe umetufikia. Ahsante Sana kwa moyo wako wa kutoa taarifa. Haya, huyo mzazi mpe namba yangu ya 0765345777 anitumie ujumbe hata Sasa hivi aseme tu "mimi ni mama wa sinza ambapo mtoto wangu amekatiliwa". Nitamtambua. Shukrani

Sent from my CPH2207 using JamiiForums mobile app
👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏
 
Tunakupongeza sana kwa muitikio wako wa haraka mara zote unapopata habari tata kupitia jukwaa hili na kutaka kujua ukweli halisi wa tukio lililo ripotiwa na member wa jukwaa.
 
Ujumbe umetufikia. Ahsante Sana kwa moyo wako wa kutoa taarifa.

Haya, huyo mzazi mpe namba yangu ya 0765345777 anitumie ujumbe hata Sasa hivi aseme tu "mimi ni mama wa sinza ambapo mtoto wangu amekatiliwa". Nitamtambua.

Shukrani
Hongera sana mama, upo active sana kushughulikia matatizo ya jamii.
Wenzako akina Nape Nnauye wanatumia JF kwa kujificha kama bange.
Si vibaya wakaiga mema yako.
 
Nikiwa kama raia mwema na mtumishi wa Kanisa Katoliki lililopo Sinza nimeona sio vema nami nikae kimya wakati kila wiki naenda Kanisani kumuomba Mungu kisha niache familia iteseke wakati nina nafasi ya kupaza sauti na haki ikatendeka.

Kuna mtoto ambaye nafikiri anasoma darasa la 5 au la 6 katika moja ya Shule zilizopo Sinza kama sijakosea inaweza kuwa ni pale Mapambano (sija uhakika na jina la shule).

Nilianza kumjua mtoto huyo kwa kuwa amekuwa akifika mara nyingi kwenye kwaya ya Kanisa hilo (Dar es Salaam).

Huyu mtoto ni wa kiume, alianza kuwa muumini mzuri wa Kanisa bada ya kuletwa na mzazi wake, mama mtu alifanya hivyo baada ya kufiwa na mumewe ambaye alikuwa ni Mwandishi wa Habari.

Mara baada ya msiba huo, kwa kuwa kiuchumi mama mtu hakuwa vizuri, akaamua kusogeza familia yake karibu na Kanisa ili angalau apate msaada.

Hivi karibuni ilibainika mtoto huyo amelawitiwa na mmoja wa Walinzi wa Kanisa hilo la Roma lililopo Sinza, baada ya mama mtu kubaini hilo (haikujulikana kama ni mara ngapi mtoto kafanyiwa hivyo na kama ni mlinzi peke yake au kuna mwingine), suala likafikishwa hadi Kituo cha Polisi Mabatini.

Mtuhumiwa akakamatwa na kuwekwa ndani kwa muda, lakini baada ya viongozi wa Kanisa pamoja na Viongozi wa Kwaya kufika kituoni hapo, haijulikani nini kilichoendelea lakini mtuhumiwa akaachiwa kwa dhamana huku kukiwa hakuna taarifa yoyote ya maana inayoendelea.

Licha ya kwanza vipimo vya Kitabibu kutoka kwa Daktari kuonesha wazi kuwa ni kweli Mtoto alifanyiwa ukatili huo wa kulawitiwa, hakuna kinachoendelea na dalili zilizopo ni kuwa viongozi wa Kanisa, Askari wa Kituo cha Polisi Mabatini wanataka kulizima suala hilo kinyemela.

Mtoto yupo tu nyumbani na mama yake, ameathirika kisaikolojia, mama mtu naye hajui cha kufanya kwa kuwa hana uwezo wa kupambana na watu wanaomzunguka mtuhumiwa.

Ushahidi wa tukio hili wanaujua watu wa karibu na kanisa hilo hasa Watumishi kuanzia wafanyausafi na hata baadhi ya mjirani pia wanajua.

Naomba ujumbe huu uzifikie Mamlaka husika kwa kuwa tukio tunalijua mwanzo mwisho lakini tuna hofu ya kujitokeza na kukemea kwa kuwa kama Kituo cha Polisi Mabatini, Daktari wa Hospitali ya Palestina (Sinza), Kanisa wote hawataki lijulikane kuna nini nyuma ya pazia na kwa nini?
Mkuu asante sana. Naomba umpe huyo mama namba aliyoitoa waziri hapa.
 
Ujumbe umetufikia. Ahsante Sana kwa moyo wako wa kutoa taarifa.

Haya, huyo mzazi mpe namba yangu ya 0765345777 anitumie ujumbe hata Sasa hivi aseme tu "mimi ni mama wa sinza ambapo mtoto wangu amekatiliwa". Nitamtambua.

Shukrani
Mama Ubarikiwe sana,Mawaziri wote na viongozi wengine WA Serikali ingekuwa wanaRespond haraka namna hii kutatua matatizo ya wanaNchi hivi Mh Rais asingehitaji kufanya kampeni tena kwenye uchaguzi.
Uendelee na Moyo huu huu na Mungu akujaalie Ktk KAZI zako ziwe na mafanikio.
 
Nikiwa kama raia mwema na mtumishi wa Kanisa Katoliki lililopo Sinza nimeona sio vema nami nikae kimya wakati kila wiki naenda Kanisani kumuomba Mungu kisha niache familia iteseke wakati nina nafasi ya kupaza sauti na haki ikatendeka.

Kuna mtoto ambaye nafikiri anasoma darasa la 5 au la 6 katika moja ya Shule zilizopo Sinza kama sijakosea inaweza kuwa ni pale Mapambano (sija uhakika na jina la shule).

Nilianza kumjua mtoto huyo kwa kuwa amekuwa akifika mara nyingi kwenye kwaya ya Kanisa hilo (Dar es Salaam).

Huyu mtoto ni wa kiume, alianza kuwa muumini mzuri wa Kanisa bada ya kuletwa na mzazi wake, mama mtu alifanya hivyo baada ya kufiwa na mumewe ambaye alikuwa ni Mwandishi wa Habari.

Mara baada ya msiba huo, kwa kuwa kiuchumi mama mtu hakuwa vizuri, akaamua kusogeza familia yake karibu na Kanisa ili angalau apate msaada.

Hivi karibuni ilibainika mtoto huyo amelawitiwa na mmoja wa Walinzi wa Kanisa hilo la Roma lililopo Sinza, baada ya mama mtu kubaini hilo (haikujulikana kama ni mara ngapi mtoto kafanyiwa hivyo na kama ni mlinzi peke yake au kuna mwingine), suala likafikishwa hadi Kituo cha Polisi Mabatini.

Mtuhumiwa akakamatwa na kuwekwa ndani kwa muda, lakini baada ya viongozi wa Kanisa pamoja na Viongozi wa Kwaya kufika kituoni hapo, haijulikani nini kilichoendelea lakini mtuhumiwa akaachiwa kwa dhamana huku kukiwa hakuna taarifa yoyote ya maana inayoendelea.

Licha ya kwanza vipimo vya Kitabibu kutoka kwa Daktari kuonesha wazi kuwa ni kweli Mtoto alifanyiwa ukatili huo wa kulawitiwa, hakuna kinachoendelea na dalili zilizopo ni kuwa viongozi wa Kanisa, Askari wa Kituo cha Polisi Mabatini wanataka kulizima suala hilo kinyemela.

Mtoto yupo tu nyumbani na mama yake, ameathirika kisaikolojia, mama mtu naye hajui cha kufanya kwa kuwa hana uwezo wa kupambana na watu wanaomzunguka mtuhumiwa.

Ushahidi wa tukio hili wanaujua watu wa karibu na kanisa hilo hasa Watumishi kuanzia wafanyausafi na hata baadhi ya mjirani pia wanajua.

Naomba ujumbe huu uzifikie Mamlaka husika kwa kuwa tukio tunalijua mwanzo mwisho lakini tuna hofu ya kujitokeza na kukemea kwa kuwa kama Kituo cha Polisi Mabatini, Daktari wa Hospitali ya Palestina (Sinza), Kanisa wote hawataki lijulikane kuna nini nyuma ya pazia na kwa nini?
Mtoto wa darasa la sita muda wa kwenda kanisani kila siku kuimba kwaya anaupata wapi na kwa nini anaruhusiwa kushinda mazingira ya nje ya nyumbani bila uangalizi wa mzazi, ifike mahali wazazi tuwe walinzi wa hawa watoto sio kuwaachia tu dunia imeharibika

Chanzo cha ukatili ni sisi wazazi kutokua responsible kwa watoto wetu

Nampa pole huyo mama.
 
Back
Top Bottom