Baadhi ya sisi Wakazi wa Mtaa wa Kibugumo Wilaya ya Kigamboni pembezoni na ilipo Sheli ya Puma hapa Dar es Salaam kuna mwekezaji ameziba njia ya maji hali ambayo imetufanya tunaoishi maeneo ya...
Mimi ni mmoja wa watu ambao nimekuwa nikifanya kazi kwa ukaribu na Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), sina nafasi hiyo ya juu lakini nipo katika sehemu ambayo NHIF wakitimiza wajibu wao...
Mamlaka ya Maji safi na Usafi wa Mazingira Singida (SUWASA) ni Taasisi ya Serikali inayotoa huduma ya maji safi katika Mkoa wa Singida kwa zaidi ya miaka 20 sasa, ipo chini ya Wizara ya Maji...
Nimeamua kuandika hapa kwa kuwa JamiiForums inafuatiliwa na watu wengi ndani na je ya Nchi, mtandao huu unafuatiliwa na watu wa kawaida, Viongozi na Watu wengine mashuhuri. Ningependa kuwaomba kwa...
Naenda moja kwa moja kwenye hoja yangu. Kuna vitu vinafanywa na Serikali vinakera sana. Mfano. TMA walitangaza zaidi ya miezi miwili nyuma kwamba kutakuwa na Mvua kubwa za e El Nino ambazo...
Habari za mchana wana JF.
Hali ya sintofahamu imeendelea kwa siku mbili sasa katika kijiji cha Handa kilichopo katika Wilaya ya Chemba mkoa wa Dodoma karibu na mpaka na Wilaya ya Ikungi ambayo...
Miaka ya nyuma tokea nchi ipate uhuru huu mwaka bajeti ya kutoa mikopo Kwa WANAFUNZI WA degree ilikuwa kubwa sana, ilikuwa TZS bilioni 700+.
Serikali ikakatangaza WANAFUNZI wanaonza degree (fresh...
Naitwa Abdul-Aziz Carter Mwanafunzi wa chuo kikuu cha Dar es salaam (UDSM):
Octoba 20,2023 Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya mikopo (HESLB) Abdul-Razaq Badru aliishukuru serikali kwa kutenga Bilioni...
Mimi ni mwandishi katika moja ya magazeti hapa Nchini Tanzania na memba wa miaka mingi wa Jamii Forums, katika majukumu yangu nimefanikiwa kupata nafasi ya kuandika makala na habari mbalimbali za...
Ukiniambia hapa hakuna mazingira ya RUSHWA BASI NASTAHILI KUWEKWA HOSPITALI YA AKILI MIREMBE.
Iko hivi:
Niliomba kupatiwa huduma ya umeme mara mbili na kupewa nambali hizi kama rejea ya maombi...
Tunaishukuru Serikali yetu inatoa fedha nyingi sana kwa TARURA ili iendeleze barabara zetu hasa za Vijijini. Kwa mtindo wa sasa labda siyo wote unapotakiwa kupata kazi lazima utoe rushwa to the...
Habari wana JF,leo napenda niongelee ubabaishaji wa halmashauri zetu kwenye kuwapa stahiki zao waajiriwa.
Tunakumbuka mwezi wa 6 mwaka huu 2023 serikali iliajiri watumishi wapya kada ya afya na...
Habari Wana Jamii Forums naomba kuwasilisha hoja yangu ili kupaza sauti, mamlaka zisikie na ikiwezekana hatua zichukuliwe haraka.
Sisi Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi...
Natambua kuwa wengi mmeiona hii taarifa: Geita: Mkuu wa Wilaya aagiza TAKUKURU wachunguze safari za Mkurugenzi
Mamlaka ya Uteuzi inatakiwa kuwa makini na huyu DC Cornel Magembe. Ni mtu anacheza...
Mfamasia Neema J. Nagu kutoka Wizara ya Afya anasema kuna dawa za aina mbili zinazouzwa kwenye Duka la Dawa, zipo ambazo hazitolewi bila cheti kama Panadol na zile za mafua na nyinginezo.
Anasema...
Hawa ni wamachinga wakifanya biashara zao barabarani bila kujali hatari inayoweza kutokea.
Ni kweli kwamba kila Mmoja wetu ana haki ya kujitafutia riziki, lakini riziki ya namna hii yaweza kuleta...
Habari!
Napenda kuleta kero yangu ili mnisaidie kufikisha kwa wahusika wa Chuo cha DIT. Kuna kero kubwa hususani kwa wanafunzi waliopata mkopo kupitia Bodi ya mkoppo ya elimu ya juu (HESLB) pale...
Nchi kuwa na Ofisi au Kitengo cha Umma Cha msaada wa Sheria (Public Pro Bono Office/ Department) ni muhimu ili kuhakikisha Upatikanaji sawa wa Haki. Ofisi ya kutoa msaada wa Kisheria (Pro Bono...
Mbunge wa Ukonga akagua daraja lililojengwa kwa Bilioni 17.6 katika kata ya Ulongoni B huko Gongolamboto.
Daraja hilo litakuwa na mchango mkubwa kwa wananchi wa Ulongoni katika gurudumu la...
Natumaini mu-wenye afya njema. Poleni na mapambano ya kila siku. Ni mara yangu ya kwanza kuandika katika jukwaa hili hasa baada ya kuwa nasoma maandiko mengi tu ya wadau mbalimbali yanayohusu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.