Naandika uzi huu kwa uchungu na majonzi makubwa.
Siku za hivi karibuni nikiwa mkoa wa ugenini mishale ya usiku nilianza kujisikia hovyo sana kwa ghafla tu. Hali ilianza kubadilika mida ya saa...
Wakazi wa kulwa pande tuna kero kubwa juu ya barabara hii.
Kila siku tunapigwa kalenda tu kwamba itajengwa kwa kiwango cha lami lakini hakuna utekelezaji.
Serikali itambue wajibu wake, sio...
Huu ndio muonekano wa Shule ya Msingi Kugulunde iliyopo katika Kitongoji cha Mahande, Kata ya Mtii, Wilaya ya Same Mkoani Kilimanjaro.
Shule hii ya Serikali haina miundombinu inayoridhisha...
Siku kadhaa nyuma nilipata kutembelea eneo la leaders club aisee uchafu niliokuta na miundombinu chakavu ni Ile Ile ambayo niliiacha miaka ya 90 Hadi mwanzoni mwa 2000 kuendelea mpaka 2013-2015...
Kituo cha Afya Zamzam kilichopo Manispaa ya Bukoba huku Mkoani Kagera kinatoa huduma mbovu sana upande wa afya, hasa kwa Wanawake Wajawazito.
Haijalishi kama una kadi ya Bima au la, bado huduma...
Sisi baadhi ya Wakulima wa Vijiji vya Mwitikira, Ndaleta, Katikati na Ngabolo Wilayani Kiteto Mkoani Manyara tunapenda kujibu na kutoa ufafanuzi juu ya kinachoendelea kuhusu wenzetu kadhaa...
Kuna jipu kubwa ambalo likiiva litaleta hatari kubwa sana pale mkoa wa kagera wilaya ya kyerwa.
Kuna jamii ya wasukuma imeenda wilayani humo inawahonga viongozi ngazi ya vijiji na viongozi...
Mimi ni mkazi wa Tanga, hapa kwetu kuna kero moja kubwa ambao binafsi naona inaweza kuwa inawagusa watu wengi kwa maana ambao wanaumia au wanakwazwa na kinachofanyika.
Ni kuhusu Hospitali ya...
Mimi nikiwa mfanyakazi wa Taasisi hii tangu kipindi ikiwa NBC Bank nasikitishwa sana na yanayoendelea humu ndani, Kwa kuwa haya mambo tumekuwa tukishauri kwa nyakati tofauti na kupuuzwa nimeona ni...
Siku chache baada ya baadhi ya Wakulima wa Vijiji vya Mwitikira, Ndaleta, Katikati na Ngabolo Wilayani Kiteto Mkoani Manyara wanaodai kuporwa maeneo yao ya mashamba kuamua kurejea katika mashamba...
Kutokana na mgogoro wa ardhi unaoendelea Wilayani Kiteto Mkoani Manyara, baadhi ya Wakulima wa Vijiji vya Mwitikira, Ndaleta, Katikati na Ngabolo inadaiwa wamekamatwa na Polisi na wamewekwa ndani...
Mimi ni mwenyeji na mkali za Dodoma, niende moja kwa moja kwenye mada yangu, kama inawezekana Waziri wa Maji aivunje Bodi ya Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dodoma (DUWASA) kutokana na...
Askari wa Lukobe, Morogoro wameshindwa kulinda Usalama wa raia, IGP Wambura tusaidie
Mimi ni Mkazi wa Kata ya Lukobe Mkoani Morogoro, miezi miwili iliyopita nivamiwa nyumbani kwangu nikaibiwa...
Leo tarehe 21 mwezi wa 11 kumefanyika Kikao cha Wafanyakazi wanaojenga Mradi wa SGR na Maafisa Rasilimali Watu wa Kampuni ya Yapi Merkezi ambaye ni Mkandarasi Mkuu wa Mradi huo, hakuna muafaka...
Waziri wa Afya ninaandika hili kwa uchungu mkubwa na majuto ya kujitawala, mimi ninaumwa nilikwenda hosipitali ya mkoa nikafanya X-Ray na Ct-Scan, kisha nikapewa rufaa kwenda Muhimbili.
Nimeenda...
Wakulima wa Vijiji vya Mwitikira, Ndaleta, Katikati, Ngabolo na Olboloti Wilayani Kiteto Mkoani Manyara waliodai kuporwa maeneo yao ya mashamba wamemuomba Rais Samia Suluhu Hassan kuingilia kati...
Nimehitimu chuo kikuu cha Dodoma hivi punde, lakini mazingira tuliyokuwa tunaishi pale chuoni hakika yanasikitisha.
Colleges nyingi za pale UDOM kuna changamoto kubwa ya usafi chooni na...
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi na Mbunge wa Jimbo la Butiama, Jumanne Sagini ameagiza kukamilika kwa wakati Mradi wa Ujenzi wa Kituo cha Polisi Daraja B cha Wilaya ya Butiama Mkoani Mara...
Tujadili kupata uelewa mpana.
Kumezuka mtazamo hasi unaoshika kasi ya kusambaa kwenye jamii pana kama moto wa nyika ambapo ndugu za wagonjwa na wagonjwa wenyewe wamejenga dhana hasi juu ya huduma...
Katika pitapitia yangu ya mambo tofauti mtandaoni, nikakutana na post ya JF iliyokuwa na kichwa cha habari “Umewahi kuata Changamoto ya Mazingira ya Rushwa wakati wa Kujifungua?
Nikapata wazo na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.