DOKEZO Threads

Huyu Mratibu wa NIDA Mkoa kwa jina maarufu Odoyo amekuwa akisumbua wakazi wa Kigoma kwa kuwafukuza ofisini kama wanyama, kuwanyanyasa na hata kuwatukana. Nilipopata taarifa hizo nikasema wacha...
5 Reactions
23 Replies
2K Views
Tafuta vijana wafanye usafi daraja la watembea kwa miguu pale kituo cha mwendokasi ubungo hali ni tete
1 Reactions
3 Replies
572 Views
Kichwa cha uzi kinajitosheleza, wahusika chukueni hatua mapema. Zege lilotumika cement ni kidogo sana, limeanza kubomoka kabla ya matumizi. Screws, bati na zile bars miaka miwili tu zitakua...
2 Reactions
31 Replies
2K Views
UFISADI WA MITIHANI WA MUHULA MOSHI MANISPAA IDARA YA ELIMU MSINGI WATANZANIA WENZANGU KABLA SIJAELEZEA UFISADI HUO NAOMBENI TUWE WATETEZI WA SERIKALI YETU PAMOJA NA JAMII INAYOTUZUNGUKA UFISADI...
0 Reactions
0 Replies
909 Views
huyu jamaa na genge lake ni kati ya wanaosumbua wafanyabiashara kariakoo
5 Reactions
9 Replies
2K Views
MINOCYCLINE
DOKEZO Responded 
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Amos Makalla, amesema wahalifu wanaodaiwa kuwa Panyarodi waliovamia maeneo ya Bunju sio wakazi wa mkoa huo, kwani kazi ya kuwashughulikia wahalifu hao ilishaimaliza...
4 Reactions
33 Replies
4K Views
Naandika haya kwa masikito makubwa makubwa sn na ninasikitika kuona sheria zinachezewa wakat sheria ziko waz na zimeweka waz kila kitu. Afisa utumishi wilaya ya Tunduru kwa majina MASANJA CHUMA...
12 Reactions
40 Replies
5K Views
Anonymous
DOKEZO 
Jeshi letu la polisis kupitia askari wa usalama wa barabarani wamekua ni chanzo cha usumbufu barabarani. Eneo la Mbezi Tangi bovu / shule kwa muda mrefu sasa nyakati za asubuhi, polisi wamekuwa...
0 Reactions
0 Replies
267 Views
Kuna tetesi ya mgomo wa wafanyabiashara eneo la Kariakoo. Sababu za kuitisha mgomo; 1. Urasimu bandarini 2. Usajili wa stoo 3. Kamata kamata hovyo ya wateja kwa ukuguzi wa risiti Wao wapo...
15 Reactions
136 Replies
11K Views
Anonymous
DOKEZO 
Ubovu wa Barabara kutoka Mbande kwenda Msongola imekuwa ni kama kitega uchumi. Ni Barabara ambayo haijengwi Bali huchongwa tu kwa greda tu kwa muda Kisha huaribika tena na kurudiwa kuchongwa...
0 Reactions
0 Replies
969 Views
Maguguma
DOKEZO Responded 
Kipindi cha mvua barabara nyingi zinazounganisha Vijiji vilivyopo Mkoani Ruvuma hazipitiki kirahisi na zingine hazipitiki kabisa. hali inayopelekea wanakijiji wengi kusafirisha mazao yao kwa shida...
1 Reactions
4 Replies
743 Views
Kesi nyingi zinazopelekwa kituoni hapo zinashindwa kupata ufumbuzi wala kupelekwa mahakamani kwa kuwa askari wenye dhamana kituoni hapo wamekithiri katika uombaji wa rushwa. Watu wengi wanawekwa...
2 Reactions
3 Replies
739 Views
Wasalaam nyote! La mgambo likiliia ujue kuna jambo. Mnisamehe kwa kuanza na utangulizi wa jazba yote ni maumivu ya uzalendo. Tanzania ni nchi ya ajabu sana kila Jambo lipo kimazoea, nitoe rai...
1 Reactions
4 Replies
917 Views
Itenzi secondary iliopo Mbeya jiji maeneo ya Uyole, watoto wakishindwa kufika shule wanaambiwa walete tofali za block tano kama adhabu yake. Sasa kuna wanafunzi wameshindwa kufika shule kwa siku...
1 Reactions
1 Replies
512 Views
Kuna taarifa zinaenea sana mitandaoni zikimhusisha Mbunge wa Geita Vijijini, Joseph Kasheku Musukuma na Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mashimba Ndaki kufadhili vitendo vya uvuvi haramu ili waweze...
4 Reactions
20 Replies
3K Views
Yusuf Kitumbo ambaye ni Mwenyekiti wa Chama cha Soka cha Mkoa wa Tabora ambaye pia ni Diwani wa Kata ya Cheyo Manispaa ya Tabora kwa mara nyingine yupo katikati ya tuhuma za rushwa na kupanga...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Mkuu wa shule ya Sumbugu iliyopo Wilani Misungwi ni muumini wa ukatili wa kingono kwa wanafunzi, katika mazingira yasiyokuwa ya ubinadamu, aliamua kubomoa mirango yote na madirisha katika nyumba...
2 Reactions
27 Replies
2K Views
Habari, Huyu jamaa Kuhani Musa Richard Mwacha wa Kimara temboni ni muhuni na hafai kuwa kiongozi wa dini. Kwanini nasema hivi? Kila siku ya leo ana ibada ambayo huenda mpaka saa nne hivi ya...
35 Reactions
108 Replies
10K Views
Mzee Mwanakijiji
DOKEZO Responded 
Bila ya shaka utakuwa umesikia leo taarifa ya lile daraja refu zaidi kupita bahari limefunguliwa huko China leo. Daraja hilo liitwalo Daraja la Qingdao Jiazhou lina urefu wa kilometa 42 (sawa na...
35 Reactions
515 Replies
39K Views
Wapo watumishi wasioona mafanikio ya kutatuliwa kero zao za kiutumishi siku ya Mei Mosi, wapo watumishi wasio wanachama licha ya kukatwa mishahara yao ili kulipia michango ya vyama vya...
1 Reactions
30 Replies
3K Views
Back
Top Bottom