Recent content by Robweme

  1. Robweme

    Za Kichina!

    miwani ka mganga wa kienyeji
  2. Robweme

    Dokta kikwete,dokta karume. what else?

    "Madakitari mmevamiwa nawashauri mtafute njia nyingine make kama udaktari unagawiwa bure kama njugu ni baraha hii bana,hata mimi nataka nifanye shotikati bila kusoma niombe.
  3. Robweme

    Uranium Mining Projects In Tanzania: Progress...

    "My dear Sugar labda kizazi cha mafisadi chote kife,mgao utaendelea na kuzidi kabisa"
  4. Robweme

    FBI wakamilisha taratibu za kuchukua misikiti minne na jengo la ofisi - Manhattan,USA

    Ondoa ondoa haraka hii thread tutawafungia haraka JF,hapa kwetu hamna cha ukabila rangi wala udini ondoeni haraka sana.
  5. Robweme

    JK kufanya mahojiano na watoto.

    "Mwache aongee na watoto kwani yale mengine mazito si yamekataa kutatuliwa na yanapigwa na danadana,Richmond,Ticts,Reli nk.Sasa sahizi yake ni watoto sisi watu wazima tunamboa kila wakati richmond richmond mpeni watoto tena watoto ni wa kuchaguliwa na kujulikana wametoka familia gani, na kwa...
  6. Robweme

    Watanzania wanaokuboa

    "wanaonekana ka mashoga vile"
  7. Robweme

    Babu Seya's Appeal Set for November 30, 2009

    Usichukue notice za masomo hukazileta kweye JF kuchangia, unafikiri hawa watu wanakurupuka tu kukata rufaa bila kuwa na washauri wanasheria.Ninaimani kuwa hawa watu wanashauriwa na wanasheria wao baada ya kuangalia taratibu zote zinaruhusu.Naona nyie ndo mnaenda kufanya kazi na notice za...
  8. Robweme

    Huu ndio uhandisi

    Ni challange kidogo, picha ni nzuri sija kuelewa kidogo, inaoneka bridge ina float juu ya maji, hivyo water is withstanding the weight of the floating bridge, it is still a puzzle to me,I still remember my law of floatation that in order an object to flaot on any kind of fluid has to be denser...
  9. Robweme

    Emigani y’Ekihaya (Misemo ya kabila la wahaya)

    "Bonyo otugambo twanula muno,emigani engyo bojo mwakola mno" lete omugurusi ondijo atuganileo mara muno.
  10. Robweme

    Sakata la Kafulila na wenzake CHADEMA

    "Nilishasema Tanzania hatuna vyama vya upinzani hamuelewi?.Ni kwamba ili tufuate sera za magharibi na matakwa ya IFM na Bank ya dunia sisiemu ilibidi waanzishe tuvyama watuite vyama vya upinzani lakini kiundani ni sisiemu.Ndiyo maana viongozi wa upinzani wakienda vizuri wakakaribia patamu...
  11. Robweme

    Msaada wa huyu mwenzangu please!!

    "Yawezekana demu ana matatizo,wameshakula watu na kupita watu wengi hivyo imemkera sana, na anaona labda na wewe inaweza kuwa hivyo,ukamega na kupitia.Kingine nikuwa okay,vumilia lakini wanawake wa sasa hivi mambo yamebadilika sana,ku funga ndoa bila kutest tegemea mawili kuvunjika au kuwa ndoa...
  12. Robweme

    Mbakaji Kunyongwa na Kisha Mwili Wake Kuwekwa Msalabani

    "Kwani waislamu walijuaje msalaba"
  13. Robweme

    Spika Sitta: Kelele za Kingunge hazininyimi usingizi

    "Mmeanza kuguswa,mtakoma mwaka huu mafisadi wote Sita Oyeeeeeeeeeee"
  14. Robweme

    Sofia Simba na Sakata la Mafisadi na Wapiganaji!

    "Pole sana mnaoangaika na mambo haya, mimi mpaka sasa sijui niko chama gani, mwaka huu nimetaka kukata kadi mpaka nimeshindwa kuwa niingie chama gani hivyo nimeacha mpaka miaka mitani mingine sioni chama chochote, alafu uzuri ni kwamba haininyimi usingizi wala hainipi chakula wala kupeleka...
  15. Robweme

    Jamani mie ninawashangaa global publishers wamekosa habari za kuandika?!!!

    "Sina la kusema naunga mkono hoja yako 100%"
Back
Top Bottom