Watanzania wanaokuboa

Tatizo lako ni kuwa hujijui kuwa ni mpumbavu.

Ile meseji ilielekezwa kwa mpumbavu mwingine, specifically ilikuwa mahsusi kwake. ila ilikuwa ina mtego pia ndani yake. Na mtego ulilenga kuwatambua wapumbavu wengine pia. Nashukuru kuwa umesimama uhesabiwe.

From now on, u r in my list. Hongera! LOLZ

Hivi mkiulizwa mnagombania nini mtasemaje enyi great thinkers?
Hivi Kichaa na anayejibizana na kichaa,nani anaonekana kichaa(samahani huu ni mfano tu).
Bifu sio zuri jamani! i beg you.

Nothing personal ni upendo tu
 
Hatuzungumzii treni unazozijuwa wewe tuuu. Zipo nyingi duniani. Halafu kudandia si lazima mlangoni..... popote pale unatia tim

Unaelewa maana ya kudandia treni kwa mbele? Yaani nshankupe shangingi linalodandia ishu za watu zisizomuhusu, na umekuta wapo ktkt ya maongezi wewe waanza kujishaua na kujitia ktkt. Mi binafsi umenishangaza na kunichekesha sana, ila hutopata tena nafasi ya kunishangaza na 'matreni yako' usiyayaelewa hata maana yake kwa sababu upo kwenye list kuanzia dakika hii.
 
Tatizo lako ni kuwa hujijui kuwa ni mpumbavu.

Ile meseji ilielekezwa kwa mpumbavu mwingine, specifically ilikuwa mahsusi kwake. ila ilikuwa ina mtego pia ndani yake. Na mtego ulilenga kuwatambua wapumbavu wengine pia. Nashukuru kuwa umesimama uhesabiwe.

From now on, u r in my list. Hongera! LOLZ
Who cares .....??? You better put every one in JF in your IGNORE LIST. Thi is bacause, you never know, may be those who are not replying your posts, they have put you in their ignore list. UKIMLENGA MTU MMOJA, basi um-PM. Huu ni uwanja wa majadiliano. Yeyote yule ata-respond kwa mwingine. IF YOU NARROW YOUR MIND TO THOSE WHO ALWAYS PRAISE YOU............. THEN YOU NARROWING YOUR UNDERSTANDING. GROWING UP NI PAMOJA NA KUKUBALI KUKOSOLEWA. Ukimweka mtu kwenye igore list, unaonyesha jinsi ambayo you do not accept second opinion. YOU SEEM TO BELIEVE THAT YOU WAY IS ALWAYS RIGHT.....!!!!!!!!! I WILL NEVER PUT SOMEBODY IN MY IGNORE LIST. THE IGNORE LIST OF MINE IS ALWAYS EMPTY.
 
Hivi mkiulizwa mnagombania nini mtasemaje enyi great thinkers?
Hivi Kichaa na anayejibizana na kichaa,nani anaonekana kichaa(samahani huu ni mfano tu).
Bifu sio zuri jamani! i beg you.

Nothing personal ni upendo tu
mheshimiwa KULA TANO. Najitoa kujibizana na huyu jamaa in this way. I accept this second opinion of yours. SORRY.
 
Marin Hassan Marin wa TBC jamaa sijui huwa linaongeaje, mijitu mingine bwana, yaani nilikuwa nataka kuangalia interview ya elizabeth wa BBA ghafla nikaliona na stimu zote kwishney.

yani nimicheka mpaka basi hahahaaaaaaa, halafu jamaa lina mikogo hilo balaaa!.
Hahaha! Umenikumbusha mtanzania anayekwenda kwa jina la Isack Muyenjwa Gamba wa ITV. Akiwa anamfanyia mtu interview huwa nahamisha channel!

Tena jamaa anali sauti baya sijapata kuona, halafu hiyo TV personality zero, hapo ndio watu wengine tunaanzishaga ma speculation ya ajabu ajabu maana yule dada meneja si hana mume yule?

Hahaha! Mpwa bana. Kwa hiyo kwa kuwa hana mume ndiyo maana mapesonalite yanakuwa low au? Lile sauti la Gamba halimruhusu kuwa mtangazaji kama ethics zingefuatwa. Kabinti kangu kakimsikiliza anasoma taarifa ya habari huwa kanapiga chafya.
duh, huyu jamaa ile sauti yake sijui ikoje, sauti bayaaaaaa halafu linamikwaruzo, kavuuu yule inatakiwa HATA MPIRA ASITANGAZE KABISA.
 
mi wananiboa sana wanao ua albino kwa utajiri na kutu fanya wa tz tuonekane wa juzi, washirikina na wajinga

hasa wale wa kule kaskazini, wananiudhi sana..migodi mikubwa kubwa ya dhahabu iko mlangoni kwao..kama kweli wao wanajua kutafuta utajiri kwa viini macho si wange vuta madhahabu ya Buzwagi na Bulyanhulu badala ya kuwaachia wazungu?
 
Hivi mkiulizwa mnagombania nini mtasemaje enyi great thinkers?
Hivi Kichaa na anayejibizana na kichaa,nani anaonekana kichaa(samahani huu ni mfano tu).
Bifu sio zuri jamani! i beg you.

Nothing personal ni upendo tu

Sioni mtu anayegombana hapa, at least sio mimi. Inashangaza unapoinukuu post yangu na kunichukulia kuwa nagombana.

Huo mfano wa kichaa naomba uufafanue vizuri hadi nielewe.

Bifu ktk nini?

Hata mimi ivoivo.
 
Ziondaughter yaani kuna kaka hapa JF huwa namuogopa nadhani siku nikimuona nitazimia
ila kumtaja anaweza kuniwashia ana Bifu huyo moto hahhahahaha
 
Watangazaji wa habari za michezo star tv! wanaboa ile mbaya hawana pozi la utangazaji
 
Sioni mtu anayegombana hapa, at least sio mimi. Inashangaza unapoinukuu post yangu na kunichukulia kuwa nagombana.

Huo mfano wa kichaa naomba uufafanue vizuri hadi nielewe.

Bifu ktk nini?

Hata mimi ivoivo.

Unaweza ona kama hamgomabni lakini maneno yenu yanaonyesha hivo.Ngalikihinja na wewe ndio mnaandikiana maneno,kukukopi wewe isiwe ishu imetokea tu ningeweza hata kumkopi ngalikihinja.
kama nilivokueleza hiyo kichaa ni mfano tu kwa maana kuwa wewe na huyo mwenzio wate hamueleweki.
Nadhani umenipata vema ,nilikuwa nasema kubishana si vema.Tujengeeni hoja.
samahani mkuu kama nimekuudhi.

narudia tena,nothing personal ni upendo tu.
 
Ziondaughter yaani kuna kaka hapa JF huwa namuogopa nadhani siku nikimuona nitazimia
ila kumtaja anaweza kuniwashia ana Bifu huyo moto hahhahahaha
Hahahaaa,pole sana FL1,sasa hapo ni keyboard sijui hao ofisini au nyumbani kwake hali ni vipi.Wakati mwingine ukiona mnaanza kurushiana maneno unasepa ,unamwacha anaongea mwenyewe.
 
Hahahaaa,pole sana FL1,sasa hapo ni keyboard sijui hao ofisini au nyumbani kwake hali ni vipi.Wakati mwingine ukiona mnaanza kurushiana maneno unasepa ,unamwacha anaongea mwenyewe.

yaani hilo wazo la kweli madame akikuchenjia inabidi uwe mdogo ka piliton
wengine wanakuwa akama wamemeza Tape
 
Ziondaughter yaani kuna kaka hapa JF huwa namuogopa nadhani siku nikimuona nitazimia
ila kumtaja anaweza kuniwashia ana Bifu huyo moto hahhahahaha

usinchekeshe mie, yani ndio na keyboard inapata kigugumizi kwenye kuandika?, Lol. huyo anajulikana mbona, we mtaje bana, unamuogopa???
 
Back
Top Bottom