FairPlayer
JF-Expert Member
- Feb 27, 2006
- 4,145
- 731
Kinacho nishangaza mimi ni vijana wetu wanaojiunga ktk vyama vya siasa hapa TZ. Hawa vijana wenzangu kama kweli wana nia ya dhati ni kukaa kama kikundi na kuanzisha chama chini ya mwembe, hapo watakuwa na sauti moja lakini kukuta Mzee mtei na wenzake wamewekeza ktk chama chao na wewe wanakukaribisha alafu baada ya muda unataka uwe na sauti eti kuwazidi walio kukaribisha ktk chama chao? hilo haliwezekani.
Nashauri vijana kama akina zitto, kafulila, nape na wengine, kama kweli tunataka tuwe na chama chetu ni kuanzisha chama cha vijana wa Tanzania bila kuegemea chama cho chote kilichopo na tukisajiri, hapo tutaweza kuwa na sauti na mapambano ya kweli.
Now you are talking...