kabisa kabisa...
Hasa ya makamba naiona itakuja soon....
Halafu kutakuja pia dokta salma kikwete ....i can see it coming....
Hii nchi bwana....
dk khadijah kopa.
dk khadijah kopa.
nihabarisheni nani katoa u docta kwa JK na Karume?
Karume si hana hata first degree??
Mama Salma si alikuwa mwalimu wa Msingi au aliji upgrade?
Nauliza kwa nia nzuri tu kutaka kujua
These degrees don't hold much meaning. After all there are people with actually degrees who do nothing with them. I think some of these "honorary' degrees are politicized.
yote aliyofanya julius nyerere aliwahi kutunukiwa hizi doctorate fake? sina kumbukumbu km aliwahi wadau nijuzeni.
How politicized, while the very degrees are issued by Universities with due respect!
Labda tucgunguze na tukubali tu kwamba watu wanaokuwa honoured kama hivyo wanakuwa wamefanya uthubutu au abnormals ambazo zinakuwa appreciated na vyuo husika!
Tutofautishe usomi na heshima!