Mbakaji Kunyongwa na Kisha Mwili Wake Kuwekwa Msalabani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mbakaji Kunyongwa na Kisha Mwili Wake Kuwekwa Msalabani

Discussion in 'International Forum' started by Mbonea, Nov 4, 2009.

 1. Mbonea

  Mbonea JF-Expert Member

  #1
  Nov 4, 2009
  Joined: Jul 14, 2009
  Messages: 640
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  </SPAN>

  Mwanaume mmoja nchini Saudi Arabia ambaye aliwabaka watoto watano miongoni mwao akiwemo mtoto wa kiume mwenye umri wa miaka mitatu ambaye alimtelekeza jangwani afariki, amehukumiwa kunyongwa na kisha mwili wake kuwekwa kwenye msalaba.


  Mahakama nchini Saudi Arabia imemhukumu mwanaume aliyewabaka watoto watano adhabu ya kunyongwa na kisha mwili wake kuwekwa kwenye msalaba na kisha kuwekwa hadharani watu waushuhudie.

  Mwanaume huyo mbali ya kuwabaka watoto hao watano, alimchukua mtoto mmoja wa kiume aliyembaka na kumtelekeza katikati ya jangwa ili afariki mwenyewe.

  Mahakama ya rufaa ya mjini Riyadh imethibitisha adhabu hiyo ambayo ilitolewa mwezi juni mwaka huu na mahakama moja ndogo ya mji wa Hail ambako mwanaume huyo mwenye umri wa miaka 22 alifanya unyama wake huo,limeripoti gazeti la Okaz la Saudi Arabia.

  Baada ya kunyongwa mbele ya hadhara, mwili wake utawekwa kwenye msalaba na kuwekwa wazi kwenye hadhara watu waushuhudie.

  Mwanaume huyo ambaye hakutajwa jina lake, alikamatwa wiki chache zilizopita baada ya kujaribu kumlaghai mtoto mwingine kwa kumpa lifti ya baiskeli kutoka nyumbani kwao hadi shuleni kwao.

  Jumla ya watu 56 wameishauliwa kwa kunyongwa mwaka huu nchini Saudi Arabia kutokana na makosa mbali mbali ya mauaji, ubakaji, ujambazi na usafirishaji wa madawa ya kulevya.

  Watu wanaofanya mauaji ya kikatili hunyongwa na kisha miili yao kuwekwa kwenye hadhara.  Source: Reuters
   
 2. K

  Kayanda Member

  #2
  Nov 9, 2009
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 24
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  That is how is supposed to be. You know here in the UK something like that can go unpurnished accordingly. At one time head of the Church of England proposed the UK law system to adopt Sharia law. May be one day Islam will rule the world.
   
 3. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #3
  Nov 9, 2009
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,121
  Likes Received: 616
  Trophy Points: 280
  Napata shida kuamini kuwa kuna watu wakatili kiasi hiki duniani, ,mnataka kuniambia kuna miili ya watu inaninginia barabarani Saudi Arabia? Naomba original source ya hii habari.
   
 4. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #4
  Nov 9, 2009
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,480
  Likes Received: 19,872
  Trophy Points: 280
  ???????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????/
   
 5. Robweme

  Robweme Senior Member

  #5
  Nov 9, 2009
  Joined: May 20, 2009
  Messages: 178
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  "Kwani waislamu walijuaje msalaba"
   
 6. Ladslaus Modest

  Ladslaus Modest JF-Expert Member

  #6
  Nov 9, 2009
  Joined: Jun 27, 2008
  Messages: 638
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Kwa nini "mbakaji" awambwe Msalabani?

  By the way, "Msalaba ni upuuzi kwao waliopotea".
   
 7. MwanaFalsafa1

  MwanaFalsafa1 JF-Expert Member

  #7
  Nov 9, 2009
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 135
  Rape is an evil thing. A person must live with the trauma of the event for the rest of their lives. There are women who can't be intimate with their husbands simply because they reply that scene every time in their head. I hate rapists. It's the worst crime you can do to a woman. Everyone must know they have a mother, a sister or even a woman they love. Mtu aki kutwa na hatia ya ubakaji hata auliwe mimi simuonei huruma. Ila emotions aside I think death should not be a punishment. I think a lfe sentence would be better. My reason for this is that some innocent people will be killed only to find out after wards they did not commit a crime. But if there is a way to know a person commit rape for sure na wamuulie mbali tu.
   
 8. Mwana wa Mungu

  Mwana wa Mungu JF-Expert Member

  #8
  Nov 9, 2009
  Joined: Aug 14, 2008
  Messages: 1,007
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Ni vigumu sana uislam kutawala dunia, kwasababu ndani ya dunia, hawaishi waislam tu, wanaishi na wakristo, watu wanaomwabudu Mungu wa kweli, na Yesu Kristo aliyemtuma, ambaye ni mkuu kuliko marahemu mwamedi. shetani aliyeleta koran hana nguvu yoyote kutawala juu ya Holy Bible, ndio maana mmejaribu miaka nenda rudi mmeshindwa, mnaishia kujitoa muhanga tu kupigania dini lakini hamuwezi. dini ya kuabudu mwezi na nyota, dini ya kufuga majini, na dini ya kusoma maalbadili na mashetani subiani na makata, dini ya kujitoa muhanga haitakuja itawale dunia, labda kanisa la Mungu likiwa limeshanyakuliwa kuondoka hapa duniani. pole sana kaka. unaumiza moyo wako bure, ungewaza mambo mengine tu.
   
 9. Mwana wa Mungu

  Mwana wa Mungu JF-Expert Member

  #9
  Nov 9, 2009
  Joined: Aug 14, 2008
  Messages: 1,007
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  kubaka ni dhambi kubwa sana, inatakiwa mtu anayefanya hivyo ahukumiwe sawasawa na jinsi sheria ya nchi husika inavyosema. kama itasema anyongwe, apigiliwe msalabani etc, yote sawa tu. cha maana ni kwamba, ubakaji ni kosa sana. sasa, nashangaa amebaka hadi mtoto wa kiume, sawa tu na hapa tz waarabu wanavyowabaka wanafunzi wa kiume wa shule za msingi ili kulisha majini yao. angalia watu wote walioharibika, watakwambia walianzia kwa waarabu walikuwa wanawahonga shingimiamia..hahaha. pia waislam na baadhi ya wakristo wanaowaingilia wake zao kinyume na maumbile kwenye ******, nao wapate adhabu ya kubakwa, nakumbuka yule kiongozi wa iran alipokuja hapa alisema, kama mwanamke yule mwezini, unaweza ukamfanya tundu lolote lile ikimaanisha na kwenye ****** kwake. ndio maana uchafu huu umejaa pwani kwenye majini yanayoabudiwa na dini za kipopobawapopobawa. jamani, Mwaminini Yesu, mpone, dini zingine hizi, kazi tupu.
   
 10. K

  Konaball JF-Expert Member

  #10
  Nov 9, 2009
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 1,780
  Likes Received: 472
  Trophy Points: 180
  Hivi PADRI SIXTUS na Rais CANAN BANANA nao walikuwa waislaam
   
 11. Mbonea

  Mbonea JF-Expert Member

  #11
  Nov 10, 2009
  Joined: Jul 14, 2009
  Messages: 640
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Its hot here
   
 12. Mwana wa Mungu

  Mwana wa Mungu JF-Expert Member

  #12
  Nov 10, 2009
  Joined: Aug 14, 2008
  Messages: 1,007
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  jiulize kwanini uchafu umezidi pwani?
   
 13. Mwana wa Mungu

  Mwana wa Mungu JF-Expert Member

  #13
  Nov 10, 2009
  Joined: Aug 14, 2008
  Messages: 1,007
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  ulishawai kuona hata popobawa tu anatembelea sehemu zenye wakristo wengi? ni pwani tu kwa ndugu zao.
   
 14. M

  M-Joka JF-Expert Member

  #14
  Nov 10, 2009
  Joined: Dec 13, 2007
  Messages: 308
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Waislamu wanaujua msalaba na vile vile kwamba anayeukufa kwa kutundikwa msalabani kwamba amekufa kifo cha KULAANIWA. Itikadi hiyo imo hata katika Biblia. Ndio maana, kwa mujibu wa kauli ya Mwenyezi Mungu (Qur-ani) na sisi waislamu tunavyoamini ni kwamba:

  HAKUSULUBIWA WALA HAKUFA ISA BIN MARYAMU (YESU) MSLABANI, yaani Uislamu unamsafisha na kumtukuza Nabii wa Mwenyezi Mungu, Isa (Yesu) kwamba LAANA YA NAMNA HIYO AMBAYO WENZETU WAMEIFANYA NDIO NGUZO YA DINI YAO ametakasika nayo, katu haikumfika na kwamba hao wanoishadidia kwamba laana hiyo imemfika hawana uhakika na mahala, wakati na mazingira ya tukio hilo, wanagushi tu. Kwa uhakika kabisa laana na aibu ya kutundikwa na kufa msalabani haiwafiki watu wema kama Isa (Yesu) bali watu waovu kama huyo jamaa huko Saudi Arabia. NA WANAOMSINGIZIA KWAMBA NABII WA MWENYEZI MUNGU, ISA BIN MARYAM (YESU) KWAMBA ALIFIKWA NA LAANA HIYO, BASI WAJUE YA KWAMBA WANAMAANISHA KUMFANANISHA YESU NA HUYU JAMAA WA SAUDI ARABIA.

  Ndugu KANG, unapata shida kuamini ukatili upi??? wa huyu m-bakaji wa watoto(kuwarubuni watoto wadogo masikiniii, kuwaingilia (kwa mbele an nyuma), na kisha kuwatelekeza jangwani ili wafe, au ukatili unaona wewe ni kuwa utawala kumpa adhabu ya kifo cha laana na dhalili kwa mtu kinyaa namna hii.?? Nini maana ya ukatili kwako??? Au kwasababu wanaochukuwa hatua hii ni utawala wa kiislamu?? Unao watoto wewe??? Una-fikra barabara lakini ndugu yangu??? Hakusingiziwa huyu jamaa, una habari hiyo???

  Ngugu KANG, Saudi Arabia hakuna wanaoning'inia majiani wakiwa wametundikwa misalabani na wala sio kwamba adhabu kama hii inatumika tumika ovyo tu, pengine haijawahi kutumika kabisaaaa, zaidi ya miaka elfu moja iliyopita. Itumika kwa nani na UHALIFU KINYAA wa namna hiyo haupo??? labda kama mna data zenu za namna namna.
   
 15. Mbonea

  Mbonea JF-Expert Member

  #15
  Nov 10, 2009
  Joined: Jul 14, 2009
  Messages: 640
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Kazi kweli kweli.
   
Loading...