Recent content by mashambani kwao

  1. M

    JamiiForums Tanzania Je Serikali Imefilisika Kiasi cha Kushindwa Kulipa Mshahara wa September?

    zipo kwenye uchaguzi wa nec
  2. M

    JamiiForums Tanzania Ahsanteni sana JamiiForums

    upo wapi jamani nakumiss kwa lile jukwaa letu.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Serikali imefilisika? Mishahara January utata mtupu

    king kong zilepesa za mabilioni ya kikwete walikula mameneja wa bank sasa ujasiriamali upi mkuu?
  4. M

    JamiiForums Tanzania Yusuf Makamba: CCM imesajili kikosi supa ligi ya mwaka 2015

    mikoa yote wametumia rushwa.!
  5. M

    JamiiForums Tanzania Serikali imefilisika? Mishahara January utata mtupu

    Gerradi vp kambi ya Adamu Aalima imeangamizwa au imenyanyuka maana nilisikia uchaguzi ulikuwa moto!pili kulikuwa na taarifa kuwa mkurugenzi wenu LIANA SIPORA alikataa kusaini PAY ROLL pamoja na kukabidhi ofisi hahahahaha hebu simulia kidogo.
  6. M

    JamiiForums Tanzania CCM Makete wachaguana!

    niangusage bac.
  7. M

    JamiiForums Tanzania somo la hisabati ni kikwazo kweli?

    walimu wanamgomo huu ni mwaka wa 15 sasa,mitaala kilaunapoamka inabadilishwa,unategemea nini?
  8. M

    JamiiForums Tanzania DAKTARI AOMBA RUSHWA LAKI NA NUSU, wanawake laivu...

    naendelea kusisitiza mambo hayo yote mmeyataka wenyewe,kulalamika tu.
  9. M

    JamiiForums Tanzania DAKTARI AOMBA RUSHWA LAKI NA NUSU, wanawake laivu...

    walipewa kanga,kofia, na pesa sasa mnalia nini?
  10. M

    JamiiForums Tanzania WANAJESHI wameanza kufyatuka kupaza sauti kudai mabadiliko

    pendekezo hilo liwe la kwanza kupita yote.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Ualimu vs upolisi ngazi ya degree. Naomba ushauri.

    kamuhanda na shukuru kawambwa wapo humu subiri.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Juventus Special Thread

    mimi natabiri ubingwa unakwenda juventus maana hawa jamaa niliangalia ile mechi na chelsea daa kazi ipo.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Jimbo la Kongwa lina mbunge au kivuli?

    mkoa wote wa dodoma umepata wabunge vihiyo.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Mwenye mtoto wake ajitokeze

    muulize mzee MAHITA.
Back
Top Bottom