Je Serikali Imefilisika Kiasi cha Kushindwa Kulipa Mshahara wa September? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je Serikali Imefilisika Kiasi cha Kushindwa Kulipa Mshahara wa September?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Funge, Oct 2, 2012.

 1. F

  Funge JF-Expert Member

  #1
  Oct 2, 2012
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 585
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Wanabodi hebu tujuzeni. Hapa kazini kwangu tumezoea kupokea mshahara tarehe 25 ya kila mwezi. Lakini cha ajabu mpaka leo haikulikani mshahara utatoka lini. Maelezo tunayopata ni kwamba pesa ya mshahara toka Hazina haijaingia kwenye account.

  Je hii ni kwetu tu au na kwingine pia? na kama na kwengine ni hivyo tatizo ni nini?
   
 2. kazikubwa

  kazikubwa JF-Expert Member

  #2
  Oct 2, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 598
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Wewe kwako wapi?
   
 3. Wilbert1974

  Wilbert1974 JF-Expert Member

  #3
  Oct 2, 2012
  Joined: Feb 10, 2011
  Messages: 1,607
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Ngoja wa wizara husika atakujibu!
   
 4. neggirl

  neggirl JF-Expert Member

  #4
  Oct 2, 2012
  Joined: Jul 30, 2009
  Messages: 4,830
  Likes Received: 81
  Trophy Points: 145
  mmmh! hali tete.. nimesainishwa memo mida hii hii kuhusu hlo.
   
 5. m

  mashambani kwao JF-Expert Member

  #5
  Oct 2, 2012
  Joined: Dec 5, 2011
  Messages: 371
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  zipo kwenye uchaguzi wa nec
   
 6. Gedeli

  Gedeli JF Gold Member

  #6
  Oct 2, 2012
  Joined: Mar 16, 2012
  Messages: 452
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 45
  TRA haijafikisha malengo !!!
   
 7. N

  Ngahekapahi JF-Expert Member

  #7
  Oct 2, 2012
  Joined: May 8, 2012
  Messages: 530
  Likes Received: 127
  Trophy Points: 60
  mkuu hata sie wa afya bado
   
 8. i

  ilonga JF-Expert Member

  #8
  Oct 2, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 819
  Likes Received: 140
  Trophy Points: 60
  Hata sisi wa vyuo bado
   
 9. PrN-kazi

  PrN-kazi JF-Expert Member

  #9
  Oct 2, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 2,890
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Kwakweli ni kizungumkuti.
   
 10. suleym

  suleym JF-Expert Member

  #10
  Oct 2, 2012
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,714
  Likes Received: 137
  Trophy Points: 160
  hili suala la ,mishahara tete sana, hili liserikali kwisha kazi yake,na walivyo wajanja wafanyakazi local gvt wamepata msharaha kazi kwa wale wa serikali kuu!!!!! wagawe uwatawale!
   
 11. Hercule Poirot

  Hercule Poirot JF-Expert Member

  #11
  Oct 2, 2012
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 1,196
  Likes Received: 463
  Trophy Points: 180
  mfumo mpya wa epicus 9..unawatoa jasho wahasibu wa sirikali ktk kuload pesa na info husika..ila navosikia kua ushaanza tengamaa mtakao pokea mshahara mtukumbuke na sie wasakatonge lol
   
 12. T

  Tikerra JF-Expert Member

  #12
  Oct 2, 2012
  Joined: Sep 3, 2008
  Messages: 1,704
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Hata kwingine bado.Tunahisi pesa imetumika kwenye chaguzi za CCM zinazoendelea.Kibaya zaidi ni kwamba jamaa wako kimya kabisa,as if there is nothing wrong.Jamaa wana roho mbaya sana.
   
 13. T

  Tikerra JF-Expert Member

  #13
  Oct 2, 2012
  Joined: Sep 3, 2008
  Messages: 1,704
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Memo ya kuhusu nini,hebu anika hapa.
   
 14. T

  Tikerra JF-Expert Member

  #14
  Oct 2, 2012
  Joined: Sep 3, 2008
  Messages: 1,704
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Comment yako iko vague na ina ukweli kidogo sana.
   
 15. suleym

  suleym JF-Expert Member

  #15
  Oct 2, 2012
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,714
  Likes Received: 137
  Trophy Points: 160
  huo ukweli mdogo ni upi?
   
 16. T

  Tikerra JF-Expert Member

  #16
  Oct 2, 2012
  Joined: Sep 3, 2008
  Messages: 1,704
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Tunaomba details zaidi.Kwani hawakujianda kutumia hiyo system mpya.Na unalosema ni kweli?
   
 17. Nicole

  Nicole JF-Expert Member

  #17
  Oct 3, 2012
  Joined: Sep 7, 2012
  Messages: 4,284
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  hivi hii ki2 haijaingia bado?? ngoja nikamwulize dogo, manake amekaa kimya wal hajanisumbua so nikajua mambo safi
   
 18. Bosco Ntaganda

  Bosco Ntaganda JF-Expert Member

  #18
  Oct 3, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 551
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Bado tu wandugu? Sasa maisha yanaendaje na familia zenu? Poleni sana
   
 19. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #19
  Oct 3, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,468
  Likes Received: 4,128
  Trophy Points: 280
  Hii sababu inatolewa tu kuwatuliza wananchi, ukweli ni kuwa pesa hakuna.
   
 20. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #20
  Oct 3, 2012
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,126
  Likes Received: 1,705
  Trophy Points: 280
  Endeleeni kuvumilia!!!!
   
Loading...