Ahsanteni sana JamiiForums

IHANDA

Member
Jun 28, 2012
62
15
Kupitia mtandao wetu huu wa jamiiforum, nimefanikiwa kupata mchumba mwenye sifa zote nilizokuwa nahitaji. Ila mimi niko mbali na yeye anakoishi namaanisha mikoa tofaut, halafu isitoshe mimi niko chuo cha ualimu(DIPLOMA), ambako kumejaa sheria kama jkt. ila kwa hapo mimi cjui.
 
Nimejitahidi kukusoma hapo mwisho nimeshindwa kukuelewa ulikuwa una maanisha nini
 
Eeeehhh unasomea ualimu hata kunyoosha sentensi huwezi wanafunzi watapata shida sana kukuelewa
 
Hahahahaa...sijaelewa hata unataka ni sasa,au tukusaidieje..? Ama baada Jf kukupatia mchumba,unataka Jf hiyo hiyo ikuletee huyo mchumba mpk hapo chuoni kwako????
 
Hahahahaa...sijaelewa hata unataka ni sasa,au tukusaidieje..? Ama baada Jf kukupatia mchumba,unataka Jf hiyo hiyo ikuletee huyo mchumba mpk hapo chuoni kwako????

Nimecheka sana kwa hii comment yako, kwa kweli hata mimi huyo mwl.mtarajiwa sijamuelewa!!!
 
Tuma tena maombi, raundi hii utajikuta unampata wa hapohapo chuoni tena clasimenti!
 
Hahahahaa...sijaelewa hata unataka ni sasa,au tukusaidieje..? Ama baada Jf kukupatia mchumba,unataka Jf hiyo hiyo ikuletee huyo mchumba mpk hapo chuoni kwako????

Hahahhahhahhaah mechekaaaa yeuwiiiiiiiiiiii

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom