somo la hisabati ni kikwazo kweli? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

somo la hisabati ni kikwazo kweli?

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Mtanganyika1, Sep 29, 2012.

 1. M

  Mtanganyika1 Member

  #1
  Sep 29, 2012
  Joined: Sep 13, 2011
  Messages: 56
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nackitka sana ni napo ona wanafunzi wana feli somo la hisabati ivi tatzo ni kitu gan? au la bda kijana wangu tu ndo ana matatzo / kama kuna mwalimu mzuri
   
 2. Facilitator

  Facilitator JF-Expert Member

  #2
  Sep 29, 2012
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,288
  Likes Received: 802
  Trophy Points: 280
  Mtoto anasoma wapi?? Shule gani??
   
 3. m

  mashambani kwao JF-Expert Member

  #3
  Sep 29, 2012
  Joined: Dec 5, 2011
  Messages: 371
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  walimu wanamgomo huu ni mwaka wa 15 sasa,mitaala kilaunapoamka inabadilishwa,unategemea nini?
   
Loading...