CCM Makete wachaguana! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CCM Makete wachaguana!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by usungilo, Sep 30, 2012.

 1. u

  usungilo JF-Expert Member

  #1
  Sep 30, 2012
  Joined: Aug 9, 2012
  Messages: 451
  Likes Received: 97
  Trophy Points: 45
  Hii ilifanyika toka jana(jumamosi) ila umeme ulikatika nikashindwa kuwaletea taarifa kutokana na desktop yangu kuzima. Mwenyekiti aliyechaguliwa ni Fransis Chaula, mwenezi ni Tito Sovela na mjumbe wa mkutano mkuu ni Onna Nkwama(aliwahi kuwa mwenyekiti wa council,akapigwa chini udiwani kwa kashfa za matumizi mabaya ya mali za umma). Kama kawaida ya siasa, majungu ya hapa na pale yalikuwepo kiasi cha kufanya wajumbe wabaki bila msimamo wa kueleweka. Source ni mimi mwenyewe.
   
 2. prakatatumba

  prakatatumba JF-Expert Member

  #2
  Sep 30, 2012
  Joined: Oct 17, 2011
  Messages: 1,340
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  majung gan
   
 3. PhD

  PhD JF-Expert Member

  #3
  Sep 30, 2012
  Joined: Jul 15, 2009
  Messages: 3,803
  Likes Received: 777
  Trophy Points: 280
  Kufeni na ule ugonjwa wenu huko
   
 4. u

  usungilo JF-Expert Member

  #4
  Sep 30, 2012
  Joined: Aug 9, 2012
  Messages: 451
  Likes Received: 97
  Trophy Points: 45
  watu hawafi siku hizi, wako stable na arvs. Ukienda hospital hukuti mtu aliyezidiwa kama miaka ya nyuma. Wote wako mashambani na maofisini wanafanya kazi. Ukienda ikonda unakutana na waliotoka nje ya wilaya wakizidiwa ndo wanakuja ikonda. Siku hizi huku hata zile ngo za kuelimisha kuhusu ukimwi zimekosa wateja
   
 5. u

  usungilo JF-Expert Member

  #5
  Sep 30, 2012
  Joined: Aug 9, 2012
  Messages: 451
  Likes Received: 97
  Trophy Points: 45
  ya kuitana wezi,malaya, anatembea na wake za watu nk. In fact hao wote waliopita wawili ni la saba, mmoja alipeperusha bendera 7 f4. Kawaida ya mtu asiye na elimu huwa ni majungu ya reja reja kama alivyofanya jk 2005
   
 6. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #6
  Sep 30, 2012
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 11,303
  Likes Received: 669
  Trophy Points: 280
  Who cares? Bora umeme ungekatika miaka sita ili tusipate hizi habari za thithimwewe!!!
   
 7. m

  mashambani kwao JF-Expert Member

  #7
  Sep 30, 2012
  Joined: Dec 5, 2011
  Messages: 371
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  niangusage bac.
   
 8. idawa

  idawa JF-Expert Member

  #8
  Oct 1, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 16,178
  Likes Received: 5,619
  Trophy Points: 280
  mapembelo binamu.!
   
 9. u

  usungilo JF-Expert Member

  #9
  Oct 1, 2012
  Joined: Aug 9, 2012
  Messages: 451
  Likes Received: 97
  Trophy Points: 45
  vavene lokholo. Avakghojo khono vavapelye ekhyama avademi va mumitatawa. Valyaji vanonu lweli va ndalama. Ngoja chama chao kife ili wananchi waanze kupata maendeleo. Ila ninachosikitika huku vijana hawajachangamkia mabadiliko.
   
 10. N

  Ndinani JF-Expert Member

  #10
  Oct 1, 2012
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 5,409
  Likes Received: 697
  Trophy Points: 280
  Yule DKT uchwara anaegombea kila siku huko Norman Sigalla hakugombea safari hii?
   
Loading...