Kitaeleweka
JF-Expert Member
- Jul 30, 2012
- 394
- 88
Naomba ushauri wana jamii forums niko kazini kama mwalimu na ndo nimemaliza shahada ya ualimu nimeapply upolisi na nimeitwa kwenye usaili unaoanza jumatatu. Nahitaji ushauri nisije kurupuka nahitaji kujua uzito wa kazi na maslahi. Pia naomba kujua jinsi barua za udhamini format yake ilivyo. Thanks in advance