Mchezaji wa zamani wa majimaji na tanesco za songea Ambrose Mwingira (Ayoyi) amefariki dunia. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mchezaji wa zamani wa majimaji na tanesco za songea Ambrose Mwingira (Ayoyi) amefariki dunia.

Discussion in 'Sports' started by ligendayika, Oct 1, 2012.

 1. ligendayika

  ligendayika JF-Expert Member

  #1
  Oct 1, 2012
  Joined: Aug 31, 2012
  Messages: 1,175
  Likes Received: 50
  Trophy Points: 145
  Usiku wa kuamkia jumapili majira ya saa 10 usiku mchezaji mwenzetu Ambrose Mwingira (ayoyi) amefariki dunia kwa mujibu wa ndugu wa marehemu ayoyi alikua anaumwa malali jambo lillilopelekea kulazwa hospitali ya mkoa songea jumamosi saa nane mchana, alilazwa wadi ya kwanza (grade one) na baadae kuamishiwa chumba cha wagonjwa mahtuti (ICU) ambako kifo kilimkuta. BWANA AMETOA NA BWANA AMETWAA. ameni
   
 2. m

  mageuzi1992 JF-Expert Member

  #2
  Oct 1, 2012
  Joined: Apr 9, 2010
  Messages: 2,512
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Bwana ametoa na Bwana ametwaa jina la Bwana Lihimidiwe.....AMINA!
   
 3. BabaDesi

  BabaDesi JF-Expert Member

  #3
  Oct 1, 2012
  Joined: Jun 30, 2007
  Messages: 2,793
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  RIP Ayoyi.
   
 4. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #4
  Oct 1, 2012
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  daaah so sad! Mungu ailaze roho ya marehemu mahala pema peponi.
   
 5. m

  mashambani kwao JF-Expert Member

  #5
  Oct 1, 2012
  Joined: Dec 5, 2011
  Messages: 371
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  poleni sana wanalizombe.
   
 6. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #6
  Oct 1, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 933
  Trophy Points: 280
  Poleni wadau, marehemu aliwahi kucheza national team?
   
Loading...