Recent content by majikoga

  1. M

    JamiiForums Tanzania Polisi waumbuka kwa kifo cha Mwangosi ushahidi ni huu.

    Mkumbuke kuwa kesho huenda serikali ikafunga mijadala yote juu ya mauaji haya kwa kuwafikisha mahakamani fasta fasta watuhumiwa wowote watakao"teuliwa" na jeshi la Polisi pengine bila kupanga vizuri mashtaka ili jambo hili lionekane liko mahakamani hivyo halijadiliki tena. Ni bora mwenye...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Misemo inayoandikwa kwenye vyombo vya usafiri, we acha tu!

    1. Tajiri kaenda ulaya. Wapambe mnazo nauli? 2. Kikubwa pumzi
  3. M

    JamiiForums Tanzania Msaada wa ku unlock TTCL USB Modem

    Binafsi ninahitaji kununua USB Moderm ambayo nitakuwa huru kuingiza line ninayopenda kati ya TTCL, Sasatel, Zain, Vodacom na mtandao wowote mwingine. Tatizo langu sijajua kama makampuni yote haya yanatumia teknolojia moja inayoweza kutumika katika modem hiyo hiyo; sina uhakika kama zinapatikana...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mikopo ya nyumba

    Obvious ni kibanda. Lakini kwa kuanzia si mbaya; pengine kutakauwa na space ndogo ambayo hali ikiruhusu unaweza kuongeza walau vyumba viwili mbaele ya safari.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Urgent: Mature age entry

    Hujafafanua ni mature age entry ya wapi. Ila kama ni chuo kikuu, kwa uelewa wangu UDSM shahada ya kwanza unatakiwa walau uwe na C tano. Sina hakika kwa vyuo vingine
  6. M

    JamiiForums Tanzania Jicho halina pazia.

    Hii ni latest version ya (Chinese) dawa za makalio
  7. M

    JamiiForums Tanzania In Memoriam: Siku Saba za Maombolezo ya Mzee R. M. Kawawa

    Ila katika maombolezo ya Mwl Nyerere redio nyingi zilitumia muda mwingi kutumbuiza nyimbo za maombolezo; maana yake baadhi kama siyo zote ziliathirika kimapato kwa kutorusha matangazo mengi ya biashara kama kawaida. Hizi siku saba itakuwa vivyo hivyo? Na waliopo kwenye contracts za burudani...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Elizabeth Gupta - BBA 2009 Tz Representative

    Ila huyu binti siku ya kwanza walipokutana na Boys/men, kuna wakati alikuwa ana'chat na mmoja wa waganda (Phil) kwa kiswahili (late night kwa saa za EA). Kuna maneno alitamka (kama vile MSE*GE BARIDI...) nikamshangaa na sikupata picha watz wenzangu watalichukuliaje hilo.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Askofu Anthony Mayalla is no more

    R.I.P baba askofu.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Vipi Unatongoza

    Duh, kwa mtaji huu wenye wake zetu wanao 'interact maofisini, vyuoni nk. tutasalimika kweli? Au tutumie arts gani ili wake zetu wawe hawalainiki kirahisi mbele ya chatu?
  11. M

    JamiiForums Tanzania Kuna umuhimu?

    Ni muhimu sana kuelezana ukweli mlikopita huko nyuma. Ila unafanya 'taimingi' wakati mko kwenye peak flan. Na past yako kama unahisi itamuumiza mwenzio ingiza na uongo kidogo kupunguza makali. Baadaye mkioana kama bado hajagundua, si vibaya ukimalizia sehemu ya mwisho (ukweli ulioficha) ya...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Dowans: Another Richmond in making?

    Kila binadamu ananunulika (kwa bei yake). RA is desparate on this. Pengine anataka akomboe walau dola milioni 4 tu, kiasi kilichobaki ameahidi wadau wanaopigia debe (mitambo inunuliwe) wagawane. Ndio maana watu wasiotegemewa wanatetea ununuzi huu.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Rehema Mwakangale hayupo nasi

    Pole ndugu wafiwa. Mungu awape nguvu za kustahimili mshtuko huu.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Liyumba, Utata na Maendeleo yake

    Hapa si bure. Kuna kilicho/kilichotaka kuendelea nyuma ya pazia ila kikabumbuluka. Yatajulikana tu baadaye.
  15. M

    JamiiForums Tanzania Msaada wa free software

    Nashukuru mkuu kwa hilo.
Back
Top Bottom