Msaada wa free software

majikoga

Member
Jan 6, 2009
21
0
Wana JF,

Nataka kuongeza typing speed wakati ninachapa kazi zangu katika computer. Natafuta software ambayo naweza kuitumia kama tutor ili kunipima muda ninaotumia kuchapa maneno kadhaa (mfano: maneno 50 kwa dakika...)

Kama kuna free software ya ku'download naomba yeyote anielekeze namna ya kuipata tafadhali..
 
Jaribu kutembelea hapa:

Chat Room | Jambo Network | Home of Jambo Radio

Njia ambayo nadhani itakujengea speed nzuri sana. Chatting via MSN, Yahoo, IRC networks or any of such kind ni njia mbadala ya kukufanya uongeze speed ya typing.

Si lazima kuangalia keyboard wakati unaandika (ukishazoea). Within two weeks utakuwa umeimarika katika speed ya kuandika.

Kila la kheri
 
Nashukuru, nimeitembelea Jambo Network, naona itanisaidia nikiwa ofisini. ila Desktop Computer yangu nyumbani haina internet connection hivyo sitanufaika nayo nikiwa nyumbani.
 
Nashukuru, nimeitembelea Jambo Network, naona itanisaidia nikiwa ofisini. ila Desktop Computer yangu nyumbani haina internet connection hivyo sitanufaika nayo nikiwa nyumbani.
Nakutafutia solution...

Kama upo Dar kwanini usiwe na internet nyumbani? Mbona ni cheap sana? Think of it
 
Nakutafutia solution...

Kama upo Dar kwanini usiwe na internet nyumbani? Mbona ni cheap sana? Think of it
Mbali na sharti la kuwa na Telephone line ya TTCL, kuna njia mbadala ya kupata cheap internet connection ( i may sound ackward but it's true that i am not aware of any)?
 
Pale mjini pembeni mwa macsons dula la kubadilisha pesa kuna dula linaitwa oceans wanauza simu mobile kuanzia alfu 20 hizo unaweza kuunganisha na computer yako ukapata internet 24 hours tena zantel au ttcl its ur choice hizo simu ni mobile maana yake unaweza kutembea nayo ukapiga simu na kadhalika ni wewe tu
 
Majikonga,
hizo options walizokupa ni nzuri hasa kama kuna watu wa kuchat nao lakini kama huna kuna software ambazo ni nzuri kujifunzia typing ila inategemea wewe ni nani na kwa nini unataka kutype haraka. kama typing sio professional yako then tumia hiyo nia ya kuchat itakusaidia sana na usihangaike kutafuta software zingine ila kama wewe ni typist au una kazi ya kutype kila siku then tumia software iitwayo mavis. nakumbuka nilifundishia wanafunzi wangu miaka mingi nyuma. Waombe wana JF kama wanaweza kuipata wakuwekee hapa.
if you are not a typist you should only have an everage typing speed. remember its a profession for others !
 
Kuna software fulani inaitwa textaloud hiyo inakuwezesha kusoma kile unachotype na kutengenezea sauti - ukitype kifaransa itakusomea kifaransa kiswahili and so on
 
Celtel Broadband used to be expensive, few yrs ago it cost 25000 voucher for fews hours on net. na ukiwa unadowload ni balaa zaidi.....sijui sasa
 
Back
Top Bottom