Msaada wa ku unlock TTCL USB Modem | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada wa ku unlock TTCL USB Modem

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by tototundu, Aug 25, 2010.

 1. tototundu

  tototundu Senior Member

  #1
  Aug 25, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 193
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Nahitaji kuhama toka TTCL mobile broadband kwenda Zantel (2gb kwa Ths 10,000 is very appealing)

  TTCL wamelock modem zao (Mobile parter), nataka iwe sim-free, how do i go about?
   
 2. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #2
  Aug 25, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,966
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  Zanatel 2gb = 90,000/=
   
 3. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #3
  Aug 26, 2010
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 0
  Mkuu mimi niliwahi kutafuta solution ya hiyo kitu humu ndani ikashindikana, nikazungukazunguka mpaka kwa maguru wa kichina na wahindi kwenye neti, jibu nililopata ni kwamba- Ni vigumu sana kufungua CDMA modem iliyofungwa!! Ukifanikisha tufahamishane kwa PM.
  Thanks
   
 4. Uncle Rukus

  Uncle Rukus JF-Expert Member

  #4
  Aug 26, 2010
  Joined: Jun 16, 2010
  Messages: 2,430
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Zanatel ndio mtandao gani huo mkuu? inaonekana una zungumzia kitu usicho kijua Zantel wana bei mpya ambayo 2gb unapata kwa tsh 10,000/= na siyo tsh 90,000/= uliyosema wewe.
   
 5. Chipukizi

  Chipukizi JF-Expert Member

  #5
  Aug 26, 2010
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 1,970
  Likes Received: 427
  Trophy Points: 180
  ni pm tuonane nikusaidie mkuu nipo Dar
   
 6. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #6
  Aug 26, 2010
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,203
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  Mkimalizana kwenye PM mtusaidie na sisi tafadhali.
   
 7. m

  majikoga Member

  #7
  Aug 26, 2010
  Joined: Jan 6, 2009
  Messages: 21
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Binafsi ninahitaji kununua USB Moderm ambayo nitakuwa huru kuingiza line ninayopenda kati ya TTCL, Sasatel, Zain, Vodacom na mtandao wowote mwingine. Tatizo langu sijajua kama makampuni yote haya yanatumia teknolojia moja inayoweza kutumika katika modem hiyo hiyo; sina uhakika kama zinapatikana hapa nchini (duka lilipo na bei kwa makadirio).

  Tafadhali mwenye ujuzi wa mambo haya anijuvye.
   
 8. tototundu

  tototundu Senior Member

  #8
  Aug 26, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 193
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  mkuu ukiweza kusaidia hapa hapa hadharani utakuwa umesaidia wengi
   
 9. Tonge

  Tonge JF-Expert Member

  #9
  Aug 26, 2010
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 696
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Hio kuna mafundi wa mtaani tu wanaweza kuifungua, we waone mafundi simu wanaweza kuiunlock, mi shida yangu ni kutaka kujua jinsi gani ya kujiunga ili nipate hio huduma ya 2gb kwa tsh 10,000/= na mara nilisikia ni tsh 10,000/= kwa 200mb kwa wiki sio siku moja kama zamani livyokuwa tsh 6000/=, bado natafuta uhakika wa hili.
   
 10. m

  make Member

  #10
  Sep 9, 2010
  Joined: Mar 18, 2010
  Messages: 15
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 5
  Nilisoma makala yako kwenye raia Mwema na kati ya vitu ulivyozungumzia ni ahadi za mtandao na kushuka kwa bei baada ya mkongo kuwasili. Nikuhakikishie kuwa bei zimeshuka mno kwa viwango vilivyokisiwa. Kwenye TTCL Broadband Mwaka jana kipindi kama hiki 500MB ilikuwa ikiuzwa shilingi 30,000. Sasa hivi Kwa fedha hiyo hiyo unanunua 2GB (sawa na 2,048MB) ambayo ni chini ya bei ya zamani kwa asilimia 75. Pamoja na punguzo hilo kasi imeongezwa kutoka 2Mbps kwenda 8Mbps.

  Kwenye huduma za TTCL Dedicated service (kwa wateja wakubwa) kwa mfano bei ya 64Kbps imeshuka kutoka shiling 1,200,000 (mwaka jana kipindi kama hiki) hadi shiling 250,000 (bei ya leo). Hapa bei imeshuka kwa asilimia 79.17 au karibia 80%. Huduma zote za dedicated zimeshuka kwa viwango hivyo ambavyo kusema kweli ndo ile asilimia 80% iliyotabiriwa. Sasa unaposema bado mnasubiri, si kweli kwani hali inaonesha kuwa bei imeshashuka tena kwa viwango vya zaidi.

  Pengine sijazungumzia bei ya simu za mkononi ambapo sasa hivi ni Sh.1 kwa sekunde na kwa TTCL mobile unakuwa na namba tano ambazo unazipigia bure kabisa baada ya dk. ya kwanza, yaani shilling 60 tu kwa simu nzima bila kuangalia urefu wa simu hiyo.

  Kwa hiyo ni vizuri tunapoandika makala kama hizi tuwe tunawasiliana na wahusika ili kupata taarifa sahihi badala ya kuueleza umma habari zisizo na uhakika.


  TTCL

   
 11. Jayfour_King

  Jayfour_King JF-Expert Member

  #11
  Sep 10, 2010
  Joined: Nov 15, 2009
  Messages: 1,142
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  ttcl fixed line 2GB 30,000.00
   
 12. Jayfour_King

  Jayfour_King JF-Expert Member

  #12
  Sep 10, 2010
  Joined: Nov 15, 2009
  Messages: 1,142
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Kikazi zaidi nimezipenda hizi data, waambie ukitaka habari za polisi usiende JW.
   
 13. c

  cc_africa Senior Member

  #13
  Oct 1, 2010
  Joined: May 30, 2010
  Messages: 121
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Inawezekana kuna sela yuko arusha anaitwa martin yuko soko kuu arusha.anatengeneza 4n ukiulizia utaonyeshwa. Ila bei yake ni kama 30,000au 20,000
   
 14. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #14
  Oct 3, 2010
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Nadhani ukitumia google vizuri utapata information ya kukusaidia kupata suluisha lolote lile yeyote.

  Kuna mafaile ma 4 unatakiwa kudowndload nimejaribu kudowldoa naona ni mafaile safi kabisa. Ningekuwa nina aina hiyo ya modem nigejaribu.

  Lakini huwezi kudownload mpaka ujisajili. Ni sekunde chache tu

  Ukisoma comments za waadau inaonekana ukifuata guideline vizuri unaweza kuunlock modem yeyote ya HUWAEI.

  ukifuta procedures kama wanavyoeleza kwenye link unaweza kufanikiwa. Vile vile soma comments za wadau kwenye hiyo site itakusadia.

  Good luck na tupe majibu kama utafanikiwa
   
 15. Uncle Rukus

  Uncle Rukus JF-Expert Member

  #15
  Oct 4, 2010
  Joined: Jun 16, 2010
  Messages: 2,430
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Tatizo la ili jukwaa mtu akiomba msaada akisaidiwa harudi kujakutoa majibu kama amefanikiwa au la? jamari rudini kulezea kilichotokea baada ya kupewa maarifa, hii itasaidia na wengine kujifunza hapa hapa.
   
 16. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #16
  Oct 4, 2010
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Kamanda kweli kabisa
  Feeed back ni kitu kizuri. bila feedback ni sawa na comunication breakdown
   
 17. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #17
  Oct 8, 2010
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,666
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Asante kwa ufafanuzi wako ambao ni wa kweli. Lakini ume conceal maelezo ya ziada kwamba hizo rate ni kwa ajili ya broadband tu. Na kwa taarifa ya wanajukwaa ni kwamba broadband ambayo kwa TTCL ni cheap lazima uwe na fixed line.

  Lakini issue hapa ambayo inaumiza vichwa vya watu wengi pamoja na mimi ni TTCL MOBILE internet services ambazo bei zake ziko juu sana wajameni. Kwa uelewa wangu watumiaji wengi katika internet ni wale wanaotumia mobile internet na bei ni mkong'oto. Hapa ndipo inatakiwa kupunguza bei la sivyo watu watatafuta kutumia vifaa vyenu kwa kuondoa lock ili watumie mitandao mingine inayotoa huduma ya mobile kwa bei nafuu. Kwa wale mlio Dar hili linawezekana ingawa sijui ni wapi. Fanyeni utafiti maana watundu ni wengi na baadhi ya rafiki zangu wamefanya hivyo.
  Nadhani ndio sababu mmoja wa memba hapa ameomba mawasiliano kwa PM ili iwe private issue.
   
 18. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #18
  Oct 9, 2010
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  hiyo kazi inawezekana mkuu nitafute nitakuunlock utatumia zantel safi
   
 19. josephsatori

  josephsatori New Member

  #19
  Oct 13, 2010
  Joined: Aug 31, 2010
  Messages: 2
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 3
  Unawza kuipeleka moderm yako moja kwa moja pale Zentel na wataifungua na kuweka line yao ya Zantel ambapo baada ya hapo inaweza kutumia line zote. usiseme ni na amekuambia. kimya kimya hiyo. Mimi nimefanikiwa kwa namna hiyo.
   
 20. Njaa

  Njaa JF-Expert Member

  #20
  Oct 13, 2010
  Joined: Dec 6, 2009
  Messages: 970
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 60
  Hiyo ofa ya 2gb kwa Tsh 10,000 is complicated, laini yenye hiyo ofa ni tofauti na laini zingine, yenyewe ni kubwa ambayo haiingii kwenye simu za kawaida wala kwenye moderm ya voda. Haya maelezo nilipewa na Mhudumu wa Zantel shop. Je hii habari ni kweli? Nipe data Mganyizi
   
Loading...