Yaani kuna kama viupele vinanisumbua wiki ya pili sasa kuna dawa nimepewa hospitali moja ya private hapa mjini Dodoma haijasaidia sijui nifanye nini inaninyima raha sana.
vinawasha ila si sana nimepina damu docta kasema iko fresh.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.