STUNTER
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 13,075
- 17,237
Hii mikasa inawapata watu wengi sana,
Pale unapoinunua nguo nzuri kabisa na kufika nayo nyumbani,
kimbembe unakipata wakati wa kuifua, Unakuta rangi yote inachujuka na nguo kupoteza ubora wake wa kimuonekano.
Okay Naomba tubadilishane ujuzi wa jinsi ya kuitambua nguo inayochuja kabla ya kuinunua,
na kipi ukifanye endapo utakuta nguo yako inachuja...?