Kwanini wanawake wenye ndevu huwa hawazinyoi?

bohemian

Senior Member
Feb 20, 2017
103
86
Katika pitapita zangu nimegundua kuwa wanawake wanaotokea kuwa na ndevu huwa hawazinyoi kabisa hata zikirefuka vipi, tofauti na sisi wanaume ambao wengi wetu hatutaki kuziona zikitokea tu zimenyolewa, ndio nauliza ni kwanini? Au mnatuonea wivu?
ec1a6e662552fb18781bc7e3aaba6d2d.jpg
 
Sasa mkuu km wangekua wananyoa zikichomoza tuu ungejuaje km wana ndevu? na Wakianza kunyoa ndo mwanzo wa kua na videvu vigumu km Tupa, sasa mkuu huyo Utaoa?
 
Mandevu yana washa sana kwa mwanaume pia ni kama uchafu
Kwa akina dada ni hormone disorder na inherited
Ila sijui kwanini hawanyoi fanye research kwa wanawake kumi ndo urudi huku kutafuta maoni otherwise huu utafiti wako ni dhaifu sana
 
Katika pitapita zangu nimegundua kuwa wanawake wanaotokea kuwa na ndevu huwa hawazinyoi kabisa hata zikirefuka vipi, tofauti na sisi wanaume ambao wengi wetu hatutaki kuziona zikitokea tu zimenyolewa, ndio nauliza ni kwanini? Au mnatuonea wivu?
ec1a6e662552fb18781bc7e3aaba6d2d.jpg
Ngoja waje wahusika wenyewe.
 
Back
Top Bottom