Freelancer Wakala
JF-Expert Member
- Feb 6, 2016
- 1,193
- 828
Acha roho mbayaSio utamaduni wetu na haujawahi kuwa..!! Wangejifunga kanga hapo sawa..!!
Wakute usiku sasa
Nawewe unavaaWanapendeza sana watu wanaovaa hijjab
Mmh, asili haipotei
Ntajitahidi.,, Ila roho mbaya asili yangu..!!