Habari zenu wa ndugu, hasa wadau wa urembo hususani wa nywele. Wapendwa kuna dawa nimeisikia inaitwa LASER CURL (kama sijakosea), ambayo ni kwa ajili ya nywele natural ndefu kiasi na inafanya nywele zijisokote siku zote.(permanent curl) Nimekua interested kutokana na hayo maelezo ila bado sina uelewa kuhusiana nayo. Plz mwemye uelewa nayo tafadhali embu nishauri , maelekezo na kapicha if possible plz..na gharama zake Asanteni!