naija-lojja
Senior Member
- May 13, 2017
- 163
- 64
Poleni kwa majukumu ya kazi wanajamvi, nimekua nikijiuliza swali kwa mda mrefu ila nkaona nishee apa.... awa wadada wanaobandika kucha ndefu mikono yote miwili ivi inapofika swala la kuchamba baada ya haja kubwa huwa wanafanyaje kwan kwa ninavo jua ili mtu uweze kusafishika vizur lazima matumizi ya maji na sabuni yahusike ss na hizo kucha ndefu inakuaje kunako... pia ata kufua nguo zao za ndani inakuaje...??