Ni kweli wala si uongo,watoto wadogo wenye wazazi waelewa hawatakiwi kusuka hasa nywele sampuli ya rasta na dredi maana nywele hizo huambatana na kuvutwa ngozi, ila wazazi vichwa ngumu wanawasukaNasikia watoto wakisuka nywele wana weza kupoteza maisha, nini ukweli juu ya hili?
tuna draya 4 kwa Mujibu wa mwijage tayari ni kiwanda, karibu tukuze uchumi wa viwanda mkuuHiki nacho ni kiwanda. Asante kwa kushiriki kampeni ya Tanzania ya viwanda. Mungu abariki kazi za mikono yako.
Fundi ususi kwa bei poa anapatikana Manzese Bakhresa, nyumbani pia anakufuata (ila gharama itaongezeka kidogo), wasiliana nae kwa namba 0712721394 nywele zote zina range kati ya Tsh. 10,000 mpaka 20,000 (punguzo unapqta pia)
ahahaaa kweli .niambie rasta za nani kwaiyo bei?free market economy