ikinyunyi
JF-Expert Member
- Mar 26, 2017
- 1,065
- 940
Hi JF
Ni kama uzi unavyojieleza, katika mishe zangu za hapa na pale mara kadhaa nimekutana na baadhi ya wadada warembo, watanashati, waliojipamba vizuri wakakolea ila ukiendelea kumtazama vizuri sana unagundua blauzi alovaa haina kifungo na badala yake amefunga kwa pini ya kufungia nepi!
Yaani anakuwa ameharibu sana mwonekano mzima wa utanashati wake, nini tatizo dada zangu?