Credere Potest
JF-Expert Member
- Feb 26, 2016
- 217
- 298
Wakuu habari ya mda huu! Naombeni msaada wenu kwa yeyote anayefahamu Lotion ipi nzuri uso wenye mafuta mengi na Sehemu yenye baridi? Maana nimekuja mkoa wenye baridi sana sasa wakati nipo Dar nilikuwa situmii mafuta ya aina yoyote usoni sababu uso wenyewe nikitembea juani mafuta hatari sasa huku nilipo sababu ya baridi nisipopaka kitu usoni uso unakuwa kama unajikunyata hivi.....nisaidieni kwa hilo! Natanguliza shukrani zangu