Inakera sana kupishana na kijana wa kiume ananukia kama mwanamke

data

JF-Expert Member
Apr 9, 2011
26,853
23,757
Mnisamehe tu leo...

Suala la mwanaume kunukia kama mtoto wa kike linakera sana. Hii inatokana na kujipulizia mapafyumu. Mungu aliumba harufu za asili za kike na kiume tubaki na hizo.

tumblr_inline_nbye7gQTrj1qznaa6.jpg


Lets get back to naturality. Girls and Boys get smart.
 
Mbaya zaidi anaingia kwenye hiace au sehemu ya mkusanyiko wa watu wengi anaharibu hali ya hewa kabisa.....wengine unakuta ni washamba hata tofauti ya marashi ya MADEMU, MAITI na WANAUME hajui matokeo yake anajitundika yale ya MAITI yanoyonukia sana akidhani ndio amekomeshea sasa inakuwa ni kero kwa wasiopenda marashi kwani huwatesa wengine na si yeye aliyejipaka
 
Cc Nyani Ngabooo!!!!
fuatilia mada zake akisifia uturi
 
Back
Top Bottom