Urembo, Mitindo na Utanashati (Lifestyle)

JF Lifestyle: Mijadala kuhusiana na masuala ya Urembo, Mitindo na Utanashati kwa ujumla wake
Kuna wallet fulani ilikuwa na mac ya Me Too niliwahi kumnunulia wifi yenu miaka kadhaa iliyopita,ila kwa bahati mbaya ilikuja kuibiwa. Alikuwa akiipenda sana ile wallet( rangi ilikuwa pink)...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Habarini! Kuna hili suala la mavazi hasa kwenye majiji, manispaa na miji ya hapa Tanzania na nchi karibu zote duniani. Vijana wengi sasa wakitembea barabarani ili ujue jinsia zao basi itakubidi...
12 Reactions
46 Replies
11K Views
Kijana mdogo wa miaka 20-40 kunyoa ndevu na kuacha ndevu za juu au mustachi (moustache) ni kujitabiria umasikini uzeeni. Ndevu za mustachi ni ndevu za watu masikini na wasio na matumaini ya...
1 Reactions
26 Replies
4K Views
Hello everyone, I'm Baracka, Brand manager at THE INNOVATION HOUSE BRAND WORLDWIDE (Modeling Agency ) in london , Today on behalf of INHB WORLDWIDE (@theinnovationhouse.uk) • Instagram photos and...
0 Reactions
2 Replies
946 Views
Hello everyone, I'm Baracka, Brand manager at THE INNOVATION HOUSE BRAND WORLDWIDE (Modeling Agency ) in london , Today on behalf of INHB WORLDWIDE (@theinnovationhouse.uk) • Instagram photos and...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wazee wa black is beauty mtanisamehe...white is more beautiful
2 Reactions
73 Replies
12K Views
Nafagilia sana nywele,nataka niwe na nyusi nyingi na ndefu,kope nyeusi na ndefu mwenye kujua tafadhali tusaidiane.
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Kwakweli walokole wanaume hainifurahisha sana vaa yao. Hupenda mashati ya kung'aa na rangi za kung'aa. Unakuta shati rangi ya zambarau au njano linang'aa na kola pana. Suruali zao nyingi huwa za...
45 Reactions
131 Replies
19K Views
Week hii yote tulikuwa na ratiba ya kutembelea mikoa na baadhi ya vivutio mbalimbali hapa nchini, Mimi na rafiki yangu.. Jana baada ya kutoka ngorongoro tulipiga kambi Arusha mjini rafiki ilianza...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Huu ni ushauri wa bure kwa wanaume wenzangu. Kama wewe ni mwanaume mfupi na pia mnene, vazi la suti halikufai, achana nalo, vaa tu kanzu au kaunda suti uende kwenye mtoko wako. Vazi la suti liko...
9 Reactions
72 Replies
17K Views
Habari zenu wana jamvi.. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza ieleweke wazi dhumuni la UZI huu si kutaka kuwakebehi watu wenye tatizo hili ila ni kupata maoni na ushauri jinsi ya kulitatua tatizo...
1 Reactions
10 Replies
3K Views
Wanabodi Mambo yamebadilika na dunia inazunguka kasi sana Hadhi ya wanawake kuanzia akina mama na wa-dada wa jijini Dar imeporomoka kwa kiwango kikubwa, kwa sasa wamekuja na mitindo mipya ya...
4 Reactions
34 Replies
7K Views
Hivi sasa, kumekuwa na tabia inayokua kwa kasi sana inayohusisha vijana wa kiume!Tabia ya vijana hawa ya kutoboa masikio linaweza kuwa moja au yote, kisha kuvaa vipini kama wasichana au kama...
0 Reactions
15 Replies
5K Views
1.Wanawaza kuwa na handsome kuliko wote duniani 2.Anawaza kuwa na mwanaume ambaye amejitosheleza kiuchumi 3.Anawaza akiwa kwenye mahusiano na mtu aliyefanikiwa na yeye atafanikiwa hata bila...
1 Reactions
17 Replies
3K Views
Wadau hebu tupeane ujuzi kwenye uvaaji wa tai, kwa mashati ya mikono mirefu na mikono mifupi, hivi kuwa kuna kanuni inayotawala uvaaji wa tai kwa mashati hayo? Pia naomba kujua je, kuna kanuni za...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
The extraordinary hourglass shaped model from Ghana and Kenya Born to a Kenyan father and a Ghanaian mother, 22 year old Pamela Odame Watara is no doubt a social media sensation in Ghana. Pamela...
1 Reactions
3 Replies
3K Views
Napenda sana uvaaji wa huyu bingwa. Kila Nguo inamkaa fresh.
0 Reactions
29 Replies
8K Views
Yatafute haya mafuta.. Tumia ndani ya miezi miwili uje utuletee mrejesho
2 Reactions
85 Replies
14K Views
Leo nipo hapa kuwasaidia watu wanaotaka kuingia kwenye modeling au ni models wanataka kwenda kimataifa. Jina langu ni Blessing Chess nafanya kazi THE INNOVATION HOUSE BRAND WORLDWIDE modeling...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Back
Top Bottom