Niulize swali lolote kuhusiana na modeling


B

Barackachess

Member
Joined
Sep 1, 2018
Messages
42
Likes
15
Points
15
B

Barackachess

Member
Joined Sep 1, 2018
42 15 15
Leo nipo hapa kuwasaidia watu wanaotaka kuingia kwenye modeling au ni models wanataka kwenda kimataifa. Jina langu ni Blessing Chess nafanya kazi THE INNOVATION HOUSE BRAND WORLDWIDE modeling aagency iliyopo uingereza.

Angalizo: Sipo hapa kuwasaidia mjiunge na THE INNOVATION HOUSE BRAND WORLDWIDE (hapana) nipo hapa kuwasaidia endapo utahitaji njia au namna ya kufikisha ndoti zako kwa mawazo na ushauri tu. Nikichelewa kujibu tafadhari tuma ujumbe whatsapp +447452925919 nitakuelewesha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rockefeller

Rockefeller

Senior Member
Joined
Nov 21, 2016
Messages
174
Likes
111
Points
60
Rockefeller

Rockefeller

Senior Member
Joined Nov 21, 2016
174 111 60
Naomba uanze kwa kutueleza sifa za model mzuri ni zipi?
Leo nipo hapa kuwasaidia watu wanaotaka kuingia kwenye modeling au ni models wanataka kwenda kimataifa. Jina langu ni Blessing Chess nafanya kazi THE INNOVATION HOUSE BRAND WORLDWIDE modeling aagency iliyopo uingereza.

Angalizo: Sipo hapa kuwasaidia mjiunge na THE INNOVATION HOUSE BRAND WORLDWIDE (hapana) nipo hapa kuwasaidia endapo utahitaji njia au namna ya kufikisha ndoti zako kwa mawazo na ushauri tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mother Confessor

Mother Confessor

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2016
Messages
12,895
Likes
27,112
Points
280
Mother Confessor

Mother Confessor

JF-Expert Member
Joined Jan 7, 2016
12,895 27,112 280
Me naomba kufahamu hili; kwanini mamodo wengi wa kiume wanahusishwa sana na mapenzi ya jinsia moja/ushoga,??nini kinapelekea/kuleta hali hii katika tasnia ya modelling???
 
joanah

joanah

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2016
Messages
6,360
Likes
14,563
Points
280
joanah

joanah

JF-Expert Member
Joined Aug 14, 2016
6,360 14,563 280
Hizo njia za kufanya ili kutimiza ndoto za kuwa model ni zipi?
 
B

Barackachess

Member
Joined
Sep 1, 2018
Messages
42
Likes
15
Points
15
B

Barackachess

Member
Joined Sep 1, 2018
42 15 15
Naomba uanze kwa kutueleza sifa za model mzuri ni zipi?

Sent using Jamii Forums mobile app
Model bora ni yule ambaye ana PASSION na anapenda kazi yake. Kuna mambo fulani ambayo kila model anahitajika awenayo ili ufanikiwa na uwe na muda mrefu katika sekta hii.

Mambo hayo ni kama NIDHAMU, KUJIELEZA, MAWAZO CHANYA, UREFU, UMBILE, MVUTO pamoja na UPEKEE KATIKA KAZI YAKO YA MODELING (UNIQUENESS). Model ni Brand inayotembea hivyo ni lazima uwe na utofauti / upekee.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Heisenberg

Heisenberg

JF-Expert Member
Joined
Apr 26, 2017
Messages
415
Likes
407
Points
80
Heisenberg

Heisenberg

JF-Expert Member
Joined Apr 26, 2017
415 407 80
How to do 3D modeling in CADs

Push to Start
 

Forum statistics

Threads 1,262,520
Members 485,585
Posts 30,124,787