Uvaaji wa tai

fimboyaasali

JF-Expert Member
Jan 14, 2011
2,843
2,000
Wadau hebu tupeane ujuzi kwenye uvaaji wa tai, kwa mashati ya mikono mirefu na mikono mifupi, hivi kuwa kuna kanuni inayotawala uvaaji wa tai kwa mashati hayo?

Pia naomba kujua je, kuna kanuni za uvaaji tai nene na zile nyembamba?

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Aikambee

JF-Expert Member
Sep 27, 2017
3,993
2,000
Ukivaa tai usibebe chakula na sahani. Usitembee huku unakula. Usiokote okote vitu chini.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom