Zijue aina 3 za kikwapa/vikwapa


K

Kubbra Hooda

Member
Joined
Jan 4, 2019
Messages
32
Likes
26
Points
25
K

Kubbra Hooda

Member
Joined Jan 4, 2019
32 26 25
Habari zenu wana jamvi.. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza ieleweke wazi dhumuni la UZI huu si kutaka kuwakebehi watu wenye tatizo hili ila ni kupata maoni na ushauri jinsi ya kulitatua tatizo husika...

Kikwapa ni nn?Ni harufu mbaya ya jasho imtokayo mtu kwapani(Kamusi ya Kiswahili)ila kiuhalisia ni harufu yoyote mbaya itokayo sehemu yoyote ya mwili...

1:KIKWAPA KINACHOPATIKANA CHINI YA MAUNGIO YA MIKONO
Pengine hii ni aina iliyozoeleka kuliko zote maana mtu akiwa na harufu mbaya au kali utasikia wanasema ana kikwapa au kijasho

2:KIKWAPA CHA MDOMO
Hii hupelekea harufu kali kutoka kwenye mdomo yan hata upige mswaki au utafune big G bado hali ni ile ile. Wengi hupenda kusema ananuka mdomo la hasha mtu mwenye tatizo hili tunasema ana kiwapa cha mdomo hii inaweza kupelekea watu kukutenga au hata mahusiano kuvunjika kwa waliowahi kukutana na watu wenye shida hii mnaelewa nazungumzia nn

3:KIKWAPA CHA SEHEMU ZA SIRI/ NYETI
Hili pia ni tatizo ambalo lipo kwa jinsia zote mbili me na ke mtu mwenye tatizo hili hata ajitahidi kujisafisha na kubadili nguo zake za ndani bado hali hii huendelea kuwepo na wengi wetu badala ya kumwambia ukweli hasa akiwa ni mwenza wako tunaishia kuwakebehi au kuvunja mahusiano

Wanajamvi aina zote za vikwapa tajwa hapo juu huwa ni kero kwanza kwa mwenye tatizo mpaka kwa watu wanaomzunguka maana hakuna mtu anayeweza kuwa huru huku akijua anatoa harufu mbaya ktk mwili wake....
OMBI bila kuumiza hisia za yoyote naomba tujadili mbinu/dawa mbalimbali za kumaliza tatizo hili ...Nawasilisha


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hazchem plate

Hazchem plate

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2011
Messages
5,306
Likes
4,437
Points
280
Hazchem plate

Hazchem plate

JF-Expert Member
Joined Feb 25, 2011
5,306 4,437 280
Mbona hujatoa solution zaidi ya kutuongezea shida
 
Smokey D

Smokey D

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2013
Messages
2,619
Likes
1,546
Points
280
Smokey D

Smokey D

JF-Expert Member
Joined Jan 30, 2013
2,619 1,546 280
Pia kuna kikwapa cha tako
 
K

Kubbra Hooda

Member
Joined
Jan 4, 2019
Messages
32
Likes
26
Points
25
K

Kubbra Hooda

Member
Joined Jan 4, 2019
32 26 25
Tufanyeje sasa ili kuviondoa hivyo vikwapa ?

Sent using Jamii Forums mobile app
Itegemea una kipi mkuu cha kawaida au cha sehemu za siri kinaondoka kwa kuogea maji yaliyooshea mchele au maji yaliyolowekea sufuria ya ugali pamoja na makoko yake...
Unachotakiwa kufanya oga kawaida kisha tumia maji tajwa kujisuuzia utaona mabadiliko

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Forum statistics

Threads 1,262,527
Members 485,585
Posts 30,124,904